Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

kwahiyo mashupaza shiko wataumia vibaya 🤣🤣🤣😄
 
Inasikitisha kuona comment kama hii inatoka kwa mwanamke (kama kweli ni mwanamke!). Hebu jaribu kufikiria kama huyo binti underage angekuwa ni mtoto wako. Ungeyasema haya?

There is no justification for rape whatsoever; na kwa mtoto ambaye hajafikisha miaka 18 ni unyama usio na kipimo. Inasikitisha kwamba hata wanawake mnaweza kutafuta justification kuhalalisha kile alichokifanya huyu rapist!

Kama alikuwa hapewi unyumba na mkewe si angeenda kutafuta michepuko huko nje? Pesa si anazo?
Kama jamaa alikua anabaka, basi lawama tumpe shetani, kwa akili ya kibinadamu jambo hilo halitamaniki.

wewe unaweza kutamani kitoto kidogo hata hakijabalee
 
Mahusiano huwa yanaendeshwa na AKILI

Na maisha huwa yanaendeshwa na elimu ya kujitambua 'sense of who you are'

Ukiangalia kwa umakini ndoa halijawahi kuwa tatizo Ila watu ndo tatizo .

Hivyo linapokuja swala la ndoa kati ya mke na mme watu wengi huacha kuishi kwa kutumia AKILI bali huishi kwa mazoea .

Mwanamke au mwanaume wote haijalishi wanasali ,wana hofu ya Mungu kiasi gani wote hawa huwa wana dark side na light side.

Sasa wanaume huwa wanakosea wanapojaribu kuishi na mwanamke kwa mazoea .mfano unaweza kumuona mke wako ktk light side tu Una-mcheat anakaa kimya

Ila siku upande wake wa giza ukionekana ambao huitwa dark side anaamua kukuingiza gerezani au kukuua au kuvunja ndoa n.k

Mwanamke au ndoa sio tatizo Ila tatizo ni pale unapojaribu kutumia udhaifu wa MTU kujipatia faida lazima uumizwe Sana.

Tukijifunza dark side and light side tutaweza kuelewa namna bora ya kuwa na mahusiano imara.

MTU mpole au unayemuona dhaifu siku ukimkuta ktk dark side anaweza kukuua ,kuharibu future yako n.k endapo kiwango chake cha uvimilivu kikifika mwisho.
 
Mkuu umenishangaza sana, kwahiyo ulitaka mke afunike kombe DED aendelee kujilia dada wa kazi?
Tayari mke alikuwa na sababu ya kufanya hivyo kwa hasira na maumivu ya kusalitiwa tena kwa mtu ambae wanaishi nae.

Itoshe kusema ndoa sio kichaka cha kufichia maovu/waovu, haki itendeke hawa mabeki tatu wanadhalilishwa sana kuna nyumba unakuta kaliwa kuanzia na baba mpaka last born.

Kataa ndoa isikufanye ushindwe kuona hata uovu uliotendeka.

Mtoa mada kanishangaza sana,yaani anaona ni sawa kwa huyo binti kubakwa(hata kama walikua wapenzi binti ni chini ya miaka 18 anahesabika kama minor hana maamuzi sahihi).
 
huenda huyo DED kasingiziwa na mke wake.
huenda ndoa yao haiukuwa na maelewano.

nakumbuka sakata la Mbasha alifunguliwa kesi ya kubaka lkn hatimaye .......kila kitu kolijulikana.
 
Mkuu umenishangaza sana, kwahiyo ulitaka mke afunike kombe DED aendelee kujilia dada wa kazi?
Tayari mke alikuwa na sababu ya kufanya hivyo kwa hasira na maumivu ya kusalitiwa tena kwa mtu ambae wanaishi nae.

Itoshe kusema ndoa sio kichaka cha kufichia maovu/waovu, haki itendeke hawa mabeki tatu wanadhalilishwa sana kuna nyumba unakuta kaliwa kuanzia na baba mpaka last born.

Kataa ndoa isikufanye ushindwe kuona hata uovu uliotendeka.
Uovu hapa hapa kutendewa unatakiwa kuelekezwa kwa binti sio huyo mwanamke.

Kama kaamua kuhandle mambo kwa hisia ndio hivyo tena mume kazi imefika tamati na kesi ndip hiyo,itachoma pesa nyingi tu,si ajabu akapigwa chini jamaa akaamua kuhamia kwa beki tatu kabisa.
 
Unajuaje huyo DED katika uhusiano wake na huyo binti hakumtishia asiseme wala asimwambie mkewe?
Lakini hata kisheria haiwezi kumsaidia huyo DED kwa sababu bint yuko chini ya umri wa miaka 18.
Ushauri,Polisi wa Mafia wasihusike kupeleleza na kuendesha hiyo Kesi watapotosha ushahidi,waletwe wa kutoka Makao makuu Dodoma.
Kwahiyo DED
Mkuu umenishangaza sana, kwahiyo ulitaka mke afunike kombe DED aendelee kujilia dada wa kazi?
Tayari mke alikuwa na sababu ya kufanya hivyo kwa hasira na maumivu ya kusalitiwa tena kwa mtu ambae wanaishi nae.

Itoshe kusema ndoa sio kichaka cha kufichia maovu/waovu, haki itendeke hawa mabeki tatu wanadhalilishwa sana kuna nyumba unakuta kaliwa kuanzia na baba mpaka last born.

Kataa ndoa isikufanye ushindwe kuona hata uovu uliotendeka.

Umeandika mawazo yangu, nashukuru nimepitia kwanza kabla sijaandika maana umesema kila kitu.
Hii post imekupa heshima yangu.
Swali:- Nani kasema DED kabaka?
Jibu:- Ni mkewe.

Soma tena point yangu ya 3

HAKUNA UBAKAJI WOWOTEEE, mwanamke katafuta pa kumpatia mumewe na kapapata..!!!!

#YNWA
 
Hela mnazo, si mkatafute makahaba wenzenu huko nje; ukaharibu maisha ya binti wa watu, kisa kimshahara chako cha 50k?? Apandacho mtu; ndicho atakachovuna
Hii ndio point.
Mwanaume mwenye hela anabakaje?

Mkewe aache useng* na braza wetu DED.

Mke mpumbavu.

#YNWA
 
Jitu zima kutembea na mtoto wa miaka 16 ni ubakaji,linastahili kuwa jela saa hizi,acha kutetea upumbavu,team kataa ndoa hatusapoti ubakaji na ushenzi huu.
Hakuna ubakaji uliotokea.
Mkewe kaona apitie hapa ili kumkandamiza mumewe.

Mkiambiwa msioe, makelele mengii NGOJA YAWAKUTE.

#YNWA
 
Inasikitisha kuona comment kama hii inatoka kwa mwanamke (kama kweli ni mwanamke!). Hebu jaribu kufikiria kama huyo binti underage angekuwa ni mtoto wako. Ungeyasema haya?

There is no justification for rape whatsoever; na kwa mtoto ambaye hajafikisha miaka 18 ni unyama usio na kipimo. Inasikitisha kwamba hata wanawake mnaweza kutafuta justification kuhalalisha kile alichokifanya huyu rapist!

Kama alikuwa hapewi unyumba na mkewe si angeenda kutafuta michepuko huko nje? Pesa si anazo?
Hakuna RAPE iliyotokea.

Muache KUOA VICHAAA

Watawaua.

#YNWA
 
We kiazi wacha kushabikia uzinzi pumbavu! Kwa huo mbichwa wako si ajabu unaweza kumbaka hata mama yako na ukaona ni sawa.
We kiazi Wacha kushabikia upumbavu, mpumbavu wewe!
Nani kakwambia kabaka?

Mnaoa wanawake, haohao ndio wanawasingizia kesi za ubakaji, mbwa nyie.

Endeleeni kuoa ili mfe woteeee

#YNWA
 
Mtoa mada kanishangaza sana,yaani anaona ni sawa kwa huyo binti kubakwa(hata kama walikua wapenzi binti ni chini ya miaka 18 anahesabika kama minor hana maamuzi sahihi).
Hakuna ubakaji wowotee uliotokea.
Hii mi mission ya MKE kumuangamiza mume.

#YNWA
 
Back
Top Bottom