Si niliwaambia msioe! Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
6,958
Reaction score
16,358
Introduction:-
Hoya niaje wanaume wenzangu..
Kama nilivyoandika kwenye heading ""Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?""

Scenario.
Nazungumza na wewe baharia mwenzangu
1. Upo Halmashauri unakomaa na mishale ya DED/TED/MED wako bila kusahau mijeledi ya madiwani wako, yaani unajichanga hasaa mpaka unapata ka plot halafu unao.

2. Upo za kitaaa, unakomaa kweli na hustle za kitaa, Mungu bariki mikwanja hii hapa, unaamua kujenga na kuoa

3. Upo zako abroad unabeba mpaka mabox. Unarudi bongo, ushusha bonge la mjengo.

4. Upo sehemu tamu ya serikali, unapiga ufisadi ""Nani kakwambia ufisadi ni rahisi hivyo"" Kuna TAKUKURU, TISS, CAG ila unawapiga dalizi wotee.
Then unamua kushusha mjengo na kuoa.

Yaani kivyovyote vile baharia mwenzangu ila "unatoili" kweli.
Then unashusha mjengo na kuamua kuoa.

Halafu anatokea mtoto wa wazazi kama wako unayemuita mke, eti kisa mmezaa pamoja anakuletea visaa halafu eti kirahisi ""UNAMWACHIA NYUMBA UKAAANZE UPYA😳😳😳""

What a f*ck..!!

Yaani kirahisi kabisa ndani ya mjengo wako unakimbia kisa ndoa ngumu ..!!

Ndugu zangu, my fellow men ""Hukuzaliwa kuteseka"" unamwachiaje mtu matunda ya hustle zako kids eti ""Huyu mwanamke nimemshindwa Bora nikaanze upya""

Hivi Mimi Mr. Liverpool A.K.A wauaji wa Man U (7up) eti nikomae kuuza hizi K.Vant na Konyagi hapa dukani.
Halafu nishushe mjengo, then atoa mtoto wa mtu kisa tu nimezaa nae au nimemuoa alete vitimbwi eti niishie ""Ngoja nimwachie nyumba nikaanze upya""

maaannn😳😳 what upyaaa..!!

Hebu cheki hizi comments πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
What is this?? 🀷🀷




Uko sahihi sana,JF imenifanya kuwa stable sana kwenye mahusiano yangu,mwanzoni nilijua yaliyokuwa yananikuta mimi nilidhani niko peke yangu,ila nimegundua majority ya wanaume wana maumivu
yanayofanana...


CONCLUSION:
Tukiwaambia MSIOE mtaishia ooh
1. Nyie mashoga = kuoa hakuna uhusiano wowote na kula mbunye
2. Mmelelewa malezi sio = Wenye walezi yenu ndio mnawaachia nyumba wanawake.

Na kashfa nyengine kibaoo huku moyoni MNAJUTIA NDOA ZENU.

Anyway:- Endeleeni KUTESEKA na KUJENGA then KUANZA UPYA.

#YNWA
 
Ila tuache tu utani wanawake kwa upande mwingine ni changamoto sana!
Acha tu maisha yaendelee lakini sijawahi kuona importance wa nwanamke zaidi ya uzazi, baada ya kugundua ngono sio kitu cha muhimu kinachompa furaha ya moja kwa moja mwanadamu.
 
Taasisi ya ndoa miaka hii imekua ikimnufaisha sana mwanamke kuliko mwanaume.

Una hustle unaweka maisha vizuri. Then kabinti kanakuigizia upendo wa uwongo na kweli unaingia mazima unaoa.

Kumbe mwenzako alikua ana target mali zako. Anakufanyia visa mnaachana, mnagawana pasu kwa pasu unamuachia mjengo ambao anakuja kukaa na bwana ake wa ndoto zake. Bladifakeni!!!! [emoji34]

Sioi ng'o!!!
 
Upo sawa.

Ila kwa mwingine kuwa na nyumba isiyo na mke na watoto anaiona hiyo nyumba kama pango tu, bora asafiri afurahie dunia kuliko kuwa na nyumba isiyo na watoto na mama yao.

Ujanani wakati tunaanza maisha tumekodisha zile appartment mnashare geti kuna jirani yangu alikuwa ana mke na watoto, sasa kuna wakati weekend mkewe alikuwa ana tabia anachukua watoto anaenda kwao kusalimia, Jamaa alikuwa anateseka aisee. Wakiwa hawapo atakuja akugongee, na malalamiko huyu shemeji yako hayupo. Watoto wake walikuwa wachangamfu sana, hata mm walikuwa wakinipa kampa kweli siku nipo nyumbani. Long time, good memories. Nitamtafuta yule mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…