Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Masha’AllahTutaoa hatutishiki, mwanaume unaogopaje maisha?
Tupo na tutaendelea kuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masha’AllahTutaoa hatutishiki, mwanaume unaogopaje maisha?
Tupo na tutaendelea kuwepo
Mpaka Azazel aitikie wito. Nipate mzigo wa kutosha 😅😅😅Hujaoa? Unasubiri nini
😀😀😀watoto watakuita babu shauri yakoMpaka Azazel aitikie wito. Nipate mzigo wa kutosha 😅😅😅
It won't change a thing 😅😅😅😀😀😀watoto watakuita babu shauri yako
Endelea kukataa ndoaIt won't change a thing 😅😅😅
Naanzaje kukataa ndoa? Kwenye hii Dunia siwezi ishi alone. Kuna muda Dunia inaenda kasi, unaweza kudata😅😅Endelea kukataa ndoa
Aya fanya uoe tule ubwabwaNaanzaje kukataa ndoa? Kwenye hii Dunia siwezi ishi alone. Kuna muda Dunia inaenda kasi, unaweza kudata😅😅
WapoWaoaji bado wapo
NAKAZIAKataa ndoa kwa nguvu
Ndoa ni ugaidi
Ndoa ni biashara haramu
Ndoa ni sawa na ualimu au udereva bodaboda
Ndoa ni usanii
Hakuna kuoa
NAKAZIA HAPA.Ila tuache tu utani wanawake kwa upande mwingine ni changamoto sana!
Acha tu maisha yaendelee lakini sijawahi kuona importance wa nwanamke zaidi ya uzazi, baada ya kugundua ngono sio kitu cha muhimu kinachompa furaha ya moja kwa moja mwanadamu.
😅😅😅mwaka usiisheWhoooi 😅😅😅.
Acha basi
Huyo mwanamke anaweza kukuletea hilo gono ndani kwako...Kuna gono sugu watani huku nje