Si niliwaambia msioe! Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?

Si niliwaambia msioe! Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?

Mmoja kati ya jamaa zako analialia huku alikuwa kundi la kataa ndoa sasa anapiga kelele huku.

👇👇👇
 
Kijana (ME) kama unakataa KUOA; maana yake unataka KUOLEWA!

Mentor wenu ni Police wa Zanzibar.
 
Wajinga hawajawahi kukosekana.. We nenda kwa mwamposa au Zumaradi utaelewa ninachokuambia.. [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanaume mwenye akili timamu kipindi hiki sio cha kuoa

Utagongewa kwa mwaka sio chini ya wanaume kumi

Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
Sawa lakini waoaji bado wapo..ukweli utabaki pale pale. Lazima mchapiwe...kibao kimewageukia maana mlifanya cheating ni halali kwa mwanaume.
Sasa mambo ni Bambam, and the future is female maana jinsia ya kiume imevamiwa na kidudu mtu.
 
Sifa kuu ya mwanamme ni kutokuwa mbinafsi. Ndo maana mwanamme ana kiatu pair moja ila mke na watoto wake wana vaa nguo nzuri na viatu vya kutosha.

Zamani wazee wetu kabla ya kuoa lazima ahakikishe ametengeneza mji wa mke wake mpya yaani atajenga nyumba na shamba kwa ajili ya mke mpya. Shamba na nyumba inakuwa mali ya mke na watoto watakao wazaa. Bibi zetu walikuwa wanatii na kutunza mji na maisha yanaendelea.

Dhana ya mwanamke kuolewa mpaka aone mali siyo kwamba imeanza siku hizi, hii kitu iko kwenye DNA ya mtoto wa kike. Tofauti ya wa zamani na wa sasa, wa zamani walitaka wapewe shamba na nyumba wakijua watapata chakula kwenye shamba na watapata sehemu wa kuishi na watoto, ila wanawake wa sasa wanataka hela, nyumba na mali zingine kwa sababu hela atanunua chakula na matumizi yake mengine kwa ajili ya familia.

Mwanamme wa ukweli hupaswi kuogopa kuoa eti kisa mwanamke akija atachukua mali zako. Huu ni uoga ambao uko against na asili ya mwanamme. Kijana usiogope kuoa eti kisa una nyumba au gari na mali mke akija atakufikisi. Hakuna mwanamke anaweza kubali kuolewa na mwanamme bila ya kuona assurance ya kumtunza au muendelezo wa maisha yake na ustawi wa familia.

Mwanamke kukubali kuolewa na wewe kwa sababu ameona una kazi na mali siyo tatizo lake, hiyo ni asili. Ubinafsi ni sifa ya mwanamke na wala hakuna tatizo, mwanamke akikosa sifa ya kuwa mbinafsi basi huyo hana tofauti na malaya. Msemo wa mama huruma unamuhusu mwanamke ambaye siyo mbinafsi yaani anagawa ovyo ovyo.

Je, wewe utakubali binti yako aolewe na mwanamme asiyejiweza kiuchumi?

Mimi nataka nioe mwanamke mbinafsi, akitaka hati ya nyumba yangu niandike jina lake ntabadilisha. Na sehemu ya mali zangu nitampa atunze familia yangu.
 
NDOA NI UTAPELI

KATAA NDOA

TOKOMEZA NDOA


Unateseka unajenga kwa kujibana, takataka mmoja inakuja ku split asset yako kiulaini kabisa

HAWASIKII HAWA WAACHA WAPIGWE HUKO
[emoji419][emoji419][emoji419]
TOKOMEZA NDOA

NDOA NI BIASHARA
 
Back
Top Bottom