Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Kuwa makini
We jamaa unapenda kujipa umuhimu kwenye mambo ya watu.
Hao waoaji hawajawahi kukuomba fedha ya kuhudumia familia zao,Wala hujawahi kuitwa na hao waoaji kwenda kuwatatulia changamoto za familia zao.
Fanya mambo yako,acha kujipa umuhimu kwenye mambo ambayo hujaitwa Wala kushirikishwa
Wanaume wa JF ni kama mdada mwenye tako kuuubwa: anajipitisha pitisha mtaani anasema "me siolewi na mwanaume asiye na hela, mwenye pesa zake tu ndo ana hadhi ya kuwa na mimi",
wakati hakuna mwanaume amemtaka hata! ! !
![]()
Ni kwanini uko kama mdada mwenye tako kuuubwa, anayejipitisha pitisha mtaani akisema "me siolewi na mwanaume asiye na hela, mwenye pesa zake tu ndo ana hadhi ya kuwa na mimi",
wakati hakuna mwanaume amemtaka hata? ? ?
Karibu:
View attachment 3522257
Mdogo wangu hayo maelezo unataka umpate wa kuoa 😭?Mi nadhani yuko sahihi, huu mchezo wa using & dumping una haribu morals.
* Awe na bikra 1 au zote mbili.
*Asiwe na tattoo
*Asiwe redio ya kujitegemea
*Asiwe na mtoto
* Ajue kupika
Sorry we ni KE au ME??Kwahiyo ndio uwe kama mdada mwenye tako kuuubwa, anayejipitisha pitisha mtaani akisema "me siolewi na mwanaume asiye na hela, mwenye pesa zake tu ndo ana hadhi ya kuwa na mimi",
wakati hakuna mwanaume amemtaka hata? ? ?
View attachment 3522267
Akuonyesha kaburi la marehemu huyo ndo uoe.
Mwanamke ni gatekeeper wa sex na fertility, hakuna kitachofanyika hapo bila maamuzi ya mwanamke. Sasa kama mwanamke ambae amefeli kufanya maamuzi sahihi hata juu ya kizazi chake nae anaweza kuitwa mwanamke smart, basi inatubidi tutafute definition nyingine ya hili neno "smart"Mwenye kiti hapo umezingua , binti yupo smart ndio maana kataka umuoe na Sio kuichapa tu mwenyekiti
Bila shaka wewe utakua baba wa kambo.We jamaa unapenda kujipa umuhimu kwenye mambo ya watu.
Hao waoaji hawajawahi kukuomba fedha ya kuhudumia familia zao,Wala hujawahi kuitwa na hao waoaji kwenda kuwatatulia changamoto za familia zao.
Fanya mambo yako,acha kujipa umuhimu kwenye mambo ambayo hujaitwa Wala kushirikishwa
SawaMwanamke ni gatekeeper wa sex na fertility, hakuna kitachofanyika hapo bila maamuzi ya mwanamke. Sasa kama mwanamke ambae amefeli kufanya maamuzi sahihi hata juu ya kizazi chake nae anaweza kuitwa mwanamke smart, basi inatubidi tutafute definition nyingine ya hili neno "smart"
Uzuri ni kwamba mwanamke haitaji kusimama kiuchumi kwanza ndio aingie kwenye ndoa. Vitu anavyohitaji mwanamke ni miaka kuanzia 18, mwili uliotunzwa na heshima. Akiwa navyo hivyo ndoa itamfata. Sasa mwanamke anagonga 25+ hakuna njemba iliyoonyesha commitment hapo lazima kutakua na tatizo sehemu.Owen muwasitili wanawake,huku mtaan ambao hawajaolewa wananyanyasika sana
Kwanini mkuu?Bila shaka wewe utakua baba wa kambo.
1. Ni singo maza ...
2. Kitoto kimezaliwa Dec/2000 kinataka ndoa ...!!!
View attachment 3522203
Uzi tayari.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ndoa tamu sana endapo utampata mume rafiki
Baba wa kambo huwa wanawakingia kifua masingo maza ili kuficha maamuzi yao mabovu waliyofanya. Ni upumbavu kuoa single mother. Mwanaume anatakiwa kuanzisha familia yake sio kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine.Kwanini mkuu?
Uhakika au siyo...Ndoa tamu sana endapo utampata mume rafiki