Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,900
- 18,457
- Thread starter
- #61
Kwa akili zako timamu unaoa singo maza.Mwenye kiti hapo umezingua , binti yupo smart ndio maana kataka umuoe na Sio kuichapa tu mwenyekiti
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwa akili zako timamu unaoa singo maza.Mwenye kiti hapo umezingua , binti yupo smart ndio maana kataka umuoe na Sio kuichapa tu mwenyekiti
Ndio ushajichanganyaSasa zile 10k anazoniombaga zitakuwa "Kompaseted" na nini??
#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Watoto wakike wanakuwa haraka sanaMimi nimeoa ka 2005 kabichi kabisa