Si niliwaambia msioe? Take care, Vitoto vya 2000 vimeanza kulazimisha ndoa

Duh,Mimi sio baba wa kambo,Niko na mke wangu kwa 20 yrs now,with two baby boys
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivi mnaoandika nyuzi za hivi mnataka wadada waliozaliwa kuanzia mwaka 1992 kurudi nyuma wajisikiaje kuhusu ndoa na wengi wapo mtaani hawajaolewa ingawa wana degree na kazi ila ndoa ndio bai bai.
 
Kwa wanawake ni sawa tu. Jana hapa kuna kabinti ka 2004 kamefunga harusi.
Huo ndiyo umri sahii wa Binti kuolewa kama kazaliwa 2004 inamaana atakua ana Miaka 22, Yupo sahii kuolewa na Mume wake kama ana miaka 28 au zaid 30 itakua vizuri, Vijana tunatakiwa tuoe Mabinti wadogo, kuliko kuoa Mwanamke mwenye miaka zaidi ya 28 anakua katumika sana na hana hofu yoyote ya Mwanaume kwasababu utakuta kaishi kinyumba na Wanaume 3 kwa vipindi tofauti na wote hawaja muoa, Tofauti na binti aliyekulia ndani ya familia mpaka anaolewa
 
Mhawakuo
2025-2000=25, mtu mzima huyu anasitahili ndoa.
Kuna wengine waliolewa wakiwa na miaka 17 tu na hawakupata muda wa kusoma sekondari.
Mkuu hao ambao hawakupata Elimu ya Second
2025-2000=25, mtu mzima huyu anasitahili ndoa.
Kuna wengine waliolewa wakiwa na miaka 17 tu na hawakupata muda wa kusoma sekondari.
Mkuu hao ambao hawakupata Nafasi ya Kwenda Secondary ndiyo Wazuri na wanadumu kwenye ndoa kwasababu hawajui Mambo mengi ya Dunia, Ukimpata huyo Una mzalisha watoto wawili au Watatu fasta na una mfungulia kabiashara anakua busy kulea na kwenye Biashara.
 
Kweli Mkuu yani Vijana wa sikuhizi wajinga yani Wazee wa zamani wanatushinda Maujanja Mimi Babu yangu alikua na Wake watatu na wote siyo Single mother, Na Baba angu alikua na Wake wawili na wote siyo Single mother, yani hata Professor Kapuya alioa Binti mdogo mwenye Miaka 24 huku yeye ana Miaka 73, Vijana wasikuhizi Wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…