Si sahihi kuwaita watumishi wezi kwani wanaotoa sadaka hutoa kwa hiari yao bila kulazimishwa

siku maalum nimeacha kusoma gazeti la mwananchi na magazeti mwenza ni ile tarehe 10 nilipoona takataka zinazodeal na wachungaji na MIT u me.......yaani ni hivi ukiona serikali imenyamaza kimya juu ya hili halafu vitaasisi njaa vinatafuta content kama hizo ili Ku survive kwenye soko ni upuuzi mkubwa Sana. Kabla ya kukoment chochote ni vzr Sana kutafakari kwa kina Sana hii mada. Wengi wanahasira tuu za kusadikika. Hatujawahi kuambiwa kiutafiti na haya magazeti ni tshs ngapi watu wanspoteza kwa waganga wa kienyeji wasio na usajili, kwa michepuko na machangudoa, kwenye ulevi, kwenye kamali nk. Ghafla wamerukia kwenye sadaka. Shame...
 
Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa h
acha kutetea ujinga, hao ni wafanya biashara kwa kivuli cha kanisa,hizo bidhaa wanazouza zinakatwa kodi? mtumishi wa Mungu kumuona unatoa pesa kweli? hizo si tozo kama zingine, ni maandiko gani yanasema muumini atozwe anapotaka kumuona Kuhani?
 
Hizo pesa wanazokamuliwa uliwasaidia kutafuta au ni umaskini unakuwasha mwilini ,pesa yangu unanipangiaje matumizi
Hakuna muumini kwenye wa kwenye hawa watumishi uchwara ambaye ana hela. Mwenye hela huwa halii hovyo na kusikiliza utopolo wa "shakala bokolo lobolo"
 
Wanatoa baada ya kuwaaminisha kuwa watapata neema, wokovu, kwa kifupi wanatapeliwa
 
Kuna mtu , anaogopa kukatiwa mlija.......
 
Sijasoma yote, lkn jina mfano hapa. Kuna mjane alipokea mirathi ua mumewe, mchungaji akaanza kumpa madaraka church, akaanza kumdai fungu la 10 kila baada ya mida. Mama finally kajikuta hela yooote kampa mchungaji ambaye alinunua gari na kujenga nyumba nje ya Dsm huko akichuma mkoani. Mama alihakishia hadi viti vya plastic alivyokuwa anakodisha. Yupo hoiii hadi sasa sijui kama haki yake. Huo sio wizi?
 
Huo sio wizi ni Imani
 
Ila kukata mauno kitambaa cheupeee ndio mnapenda sana kuku nyinyi
 
acha kutetea ujinga, hao ni wafanya biashara kwa kivuli cha kanisa,hizo bidhaa wanazouza zinakatwa kodi? mtumishi wa Mungu kumuona unatoa pesa kweli? hizo si tozo kama zingine, ni maandiko gani yanasema muumini atozwe anapotaka kumuona Kuhani?
Sasa wanafwata nini kwani wanalazimishwa kama hawataki si watoke waende roma au
 
Asante sana ubarikiwe ,makampuni ya kamari ya m
Asante sana mtumishi barikiwa sana unajua hapa tunapambana na vijana wapumbavu na wacheza kamari ,makampuni ya kitapeli ya kamari yanamaliza vijana ,yanafilisi watu hatujawahi kuona gazeti linakemea chochote lakini sadaka ndio zinawauma sana ,ndio wanaona ni utapeli na Hawa vijana wanaoshadadia humu ni vitoto vidogo vinavyozurula kwenye makamari usiku kucha mungu ipo siku atafungua akili zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…