Si sahihi kuwaita watumishi wezi kwani wanaotoa sadaka hutoa kwa hiari yao bila kulazimishwa

siku maalum nimeacha kusoma gazeti la mwananchi na magazeti mwenza ni ile tarehe 10 nilipoona takataka zinazodeal na wachungaji na MIT u me.......yaani ni hivi ukiona serikali imenyamaza kimya juu ya hili halafu vitaasisi njaa vinatafuta content kama hizo ili Ku survive kwenye soko ni upuuzi mkubwa Sana. Kabla ya kukoment chochote ni vzr Sana kutafakari kwa kina Sana hii mada. Wengi wanahasira tuu za kusadikika. Hatujawahi kuambiwa kiutafiti na haya magazeti ni tshs ngapi watu wanspoteza kwa waganga wa kienyeji wasio na usajili, kwa michepuko na machangudoa, kwenye ulevi, kwenye kamali nk. Ghafla wamerukia kwenye sadaka. Shame...
 
Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa h
acha kutetea ujinga, hao ni wafanya biashara kwa kivuli cha kanisa,hizo bidhaa wanazouza zinakatwa kodi? mtumishi wa Mungu kumuona unatoa pesa kweli? hizo si tozo kama zingine, ni maandiko gani yanasema muumini atozwe anapotaka kumuona Kuhani?
 
Hizo pesa wanazokamuliwa uliwasaidia kutafuta au ni umaskini unakuwasha mwilini ,pesa yangu unanipangiaje matumizi
Hakuna muumini kwenye wa kwenye hawa watumishi uchwara ambaye ana hela. Mwenye hela huwa halii hovyo na kusikiliza utopolo wa "shakala bokolo lobolo"
 
Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote ,kwenda kuhudhuria makongamano na mikutano mikubwa na midogo kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote nipo kinyume na dhana ya kuwaita watumishi Hawa au wachungaji Hawa au mitume na manabii kuwa ni wezi ni uongo na upotoshaji mkubwa!

Dhana ya kudhani waumini hawana akili za kufikili au kudhani Hawa waumini ni maskini au wasio na elimu ni uongo pia! Kwenye makongamano haya na mikutano hii na ibada hizi wanaohudhuria ni maelfu ya watu! Wakiwemo wanasiasa ,maprofesa ! Ma doctor viongozi wa juu wa serikali na watu wa ulinzi na usalama ! Sio vichaa na si kweli kwamba hawana akili ! Pesa wanazotoa ni pesa zao halali na wanatoa kwa hiyari yao kama vile mtu anapoamua kutoa pesa ,ama kuhonga au kulewa na ama kununua magari ya kifahari huwezi kumwambia aliyehongwa ni mwizi au muuza bar ni mwizi au muuza magari ni mwizi!

Pesa iliyotolewa ni halali kwa kuwa aliyetoa ametoa katika mapato yake ! Iweje umuone kwamba anaibiwa wakati sio pesa zako ni zake ? Na ametoa akiwa hajalewa Wala kulazimishwa?? Mwandishi wa gazeti mwananchi ,anaitumia kalamu yake vibaya! Kwa hiyo ameona jarida la mwananchi ndio uwanja pekee wa Kutukana, kukashifu na kudhalilisha watumishi wa Mungu na Imani za watu bila kuwataja waliotapeli na waliotapeliwa!

Namfahamu mwandishi huyu hana adabu kabisa pale anapotaja jambo linalohusiana na ukristo ! Kila mtu akiamua kutumia kalamu kuandika maovu ya kufikirika na kuchafua Imani za wengine kwa maneno ya kebehi na dhihaka nchi yetu haitakuwa salama Tena! Kwenye hiyo mikutano inayomuumiza kichwa Rajabu ni uamsho wa watu kuanza kusilimu na kuukimbilia ukristo kwa Kasi kubwa ! Uwingi wa watu wanaohudhuria kwenye mikutano hii kama ule wa juzi pale kawe kwa mwamposa akina Rajabu na wenzao wanalala matumbo joto !

Sasa hata wahariri wa gazeti wamejikuta kwenye mkenge huu kukosa contenti na kuanza kuvurumisha kashfa kwa watumishi wa Mungu ! Wewe mwandishi achana na Imani isiyokuhusu simamiq Imani yako ! Kama unaona wanaoenda kwenye makanisa wanaibiwa zile ni pesa zao na wanatoa kwa hiyari hakuna anayewalazimisha kuzitoa! Na kama wamekwambia wanaibiwa waelekeze waende misikitini ambako hawataibiwa!

Watu kwa sasa wameamka sio wajinga Tena ! Kama ulivyochapisha habari za makakasisi kuwa ni matapeli ndivyo uchapishe na habari za mashekhe wanaowauzia watu mafuta na madawa ya kisuna na mapete ya bahati naliomba gazeti la mwananchi litoke hadharani na kuwataja wachungaji matapeli kwa ushahidi na kuwapeleka mahakamani kinyume chake tutalifungulia mashtaka hili gazeti kwa kupotosha umma na kutumika kuchafua na kudhalilisha Imani za watu wengine badala yake wawaombe radhi watumishi waliojaribu kuwahusianisha na porojo hizi kupitia gazeti la Mwananchi.
Wanatoa baada ya kuwaaminisha kuwa watapata neema, wokovu, kwa kifupi wanatapeliwa
 
Kuna mtu , anaogopa kukatiwa mlija.......
 
Sijasoma yote, lkn jina mfano hapa. Kuna mjane alipokea mirathi ua mumewe, mchungaji akaanza kumpa madaraka church, akaanza kumdai fungu la 10 kila baada ya mida. Mama finally kajikuta hela yooote kampa mchungaji ambaye alinunua gari na kujenga nyumba nje ya Dsm huko akichuma mkoani. Mama alihakishia hadi viti vya plastic alivyokuwa anakodisha. Yupo hoiii hadi sasa sijui kama haki yake. Huo sio wizi?
 
Huo sio wizi ni Imani
 
Ila kukata mauno kitambaa cheupeee ndio mnapenda sana kuku nyinyi
 
acha kutetea ujinga, hao ni wafanya biashara kwa kivuli cha kanisa,hizo bidhaa wanazouza zinakatwa kodi? mtumishi wa Mungu kumuona unatoa pesa kweli? hizo si tozo kama zingine, ni maandiko gani yanasema muumini atozwe anapotaka kumuona Kuhani?
Sasa wanafwata nini kwani wanalazimishwa kama hawataki si watoke waende roma au
 
Asante sana ubarikiwe ,makampuni ya kamari ya m
siku maalum nimeacha kusoma gazeti la mwananchi na magazeti mwenza ni ile tarehe 10 nilipoona takataka zinazodeal na wachungaji na MIT u me.......yaani ni hivi ukiona serikali imenyamaza kimya juu ya hili halafu vitaasisi njaa vinatafuta content kama hizo ili Ku survive kwenye soko ni upuuzi mkubwa Sana. Kabla ya kukoment chochote ni vzr Sana kutafakari kwa kina Sana hii mada. Wengi wanahasira tuu za kusadikika. Hatujawahi kuambiwa kiutafiti na haya magazeti ni tshs ngapi watu wanspoteza kwa waganga wa kienyeji wasio na usajili, kwa michepuko na machangudoa, kwenye ulevi, kwenye kamali nk. Ghafla wamerukia kwenye sadaka. Shame..
Asante sana mtumishi barikiwa sana unajua hapa tunapambana na vijana wapumbavu na wacheza kamari ,makampuni ya kitapeli ya kamari yanamaliza vijana ,yanafilisi watu hatujawahi kuona gazeti linakemea chochote lakini sadaka ndio zinawauma sana ,ndio wanaona ni utapeli na Hawa vijana wanaoshadadia humu ni vitoto vidogo vinavyozurula kwenye makamari usiku kucha mungu ipo siku atafungua akili zao
 
Back
Top Bottom