Si sawa ndugu kufanya msiba wa Careen kama fursa

Si sawa ndugu kufanya msiba wa Careen kama fursa

Caren alikuwa muigizaji na Kwa bahati mbaya alipata umauti alipokuwa akitibiwa huko India
Tunamtakia pumziko la MILELE

Imezuka kasumba mitandao, watu wanaojiita ndugu zake ku post content kwenye mitandao ya tik tok, Instagram, Facebook n.k
Wakionyesha umahiri wao wa kulia na kuja kupost

Hivi msiba wa mpendwa wako Bado hajazikwa utapata wapi nguvu za kuja kujipost na kujibu comments kwenye mitandao

Hii sio sawa msiba ni jambo linaloweza ukimkuta kila mtu, tusitumie msiba wa huyo dada kujipa umaarufu na kutengeza contents ili mpate pesa na rambirambi

Binafsi nawalaani na huu uhuni wenu wa kijinga, na wengine wenye tabia kama za hao wanaojiita ndugu wa Careen
Usaniii mambo yanakuwa kisanii saniii .....upuz upuz +ujng ujng tu

Ova
 
Back
Top Bottom