Tetesi: Si shwari, rais Magufuli kutangaza mazito August 31 siku moja kabla ya UKUTA

Hii tension yote ni ya kujitakia. Haikupaswa kabisa kuwepo. Nadhani nimeeleweka. Narudia tena, haikupaswa kuwepo.
 
Kwa kuwa umemuona Baba yako na mama yako wakinyea ndoo kwa uchafu wao basi unadhani kila mtu! Mpumbavu mkubwa wewe. Peleka utaahira wako Lumumba siyo humu.

AC

HA KUWATISHA WATU WEWE BAK! Huna lolote zaidi ya kunyea ndoo...baada ya maneno yako machafu kumtukana Mheshimiwa Rais...
 
Busara na sio nguvu zitaiepusha nchi yetu kuingia kwenye machafuko. Hawa jamaa wanataka wafanye mikutano yao kwa nini isiwe ruksa? Nimesikia na nimesoma huku jamvini kuwa maandamano ya UKUTA hayana tija. Sasa Kama ni hivyo si waachieni wafanye ? Mr President please don't let our country loose her integrity. Please let the people do what they want as long as they are not violating the constitution. Waachieni wafanye mikutano. Huo ndio upinzani!
 
Reactions: BAK
Umeona eeh! hayana tija sasa wasi wasi wa nini. Na nyinyi si mfanye mikutano yenu ya kugipia debe ufyatuaji wa watoto wataosomeshwa bure hadi Sekondari kasha kutelekezwa? Tatizo ni nini hasa? Eh! Mungu inusuru nchi yetu.

 
Atangaze tu ili alikoroge zaidi, tunamjua ye Mzee wa Mizuka...na wazingire tu ofisi, kwani sisi hulala ofisini kama yeye anavolala Ikulu?
 
we mse#$*nge nini, nani aliwafukuza wabunge wa upinzani? nakuuliza nani aliwafukuza? wee ku#$*ma nini? walitumwa na bibi zako ili watoje bungeni?
 
Hawa jamaa wanatumia nguvu nyingi kuliko akili,Ni taabu polisiccm wanatumiwa kama hawana weledi,tatizo hata usalama wa taifa umekuwa ni usalama wa chama.Ni aibu aisee na Magu akitangaza hali ya hatari,basi aruhusu jeshi liingie mtaani.
 
Walisema vyama vya upinzani vimekufa wakati sasa waache waandamane waone kama watakosa watu
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Ndiyo uwezo wako wa kupanga hoja ulipoishia hapo! Pole zako nyingi.

we mse#$*nge nini, nani aliwafukuza wabunge wa upinzani? nakuuliza nani aliwafukuza? wee ku#$*ma nini? walitumwa na bibi zako ili watoje bungeni?
 
nasikia baada ya kufanikiwa kwenye tamko la bavicha na sasa ukuta linakuja tamko la bawacha kuanzia October mosi?
hakuna kulala kwa serikali na polisi ni nginjanginja Mwanzo mwisho.
 
Duh bas watangaze iwe public holiday pia ili tukae majumbani tuwatizame wanaotunishiana misuli
mechoka mim na hiz habari na tishio za ukata sijui ukuta
 
Itakuwa umepatwa na kichaa nenda kapimwi .
 
Nimeapa Nitaandamana Kuidai Haki.Mengine siyajui.
 
Nadhani waziri wa mambo ya ndani anatosha. rais ana kazi nyingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…