dev senior
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 458
- 557
Chadema hawaishiwi na siasa za ramli na mazingaombwe.....
UKUTA ni kiinimacho, hakuna uhalisia hapo....
UKUTA ni kiinimacho, hakuna uhalisia hapo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifaranga wa Mbowe wanachekesha sana, Eti JPM aingilie kanuni za bunge, duuu.. Kurudisha wabunge bungeni, huku nje mnasema anavunja sheria, kwahiyo akirudisha Wabunge bungeni atakua havunji sheria na kanuni za bunge..Atangaze kuanza kuiheshimu katiba ya nchi, atangaze Wabunge wote wa upinzani waliofukuzwa bungeni sasa wana haki ya kuruhusiwa kuingia Bungeni, atangaze kuacha kuingilia na kuvuruga vikao vya Bunge ili kuwadhibiti wapinzani au mpaka kieleweke, asidhani yeye yuko juu ya katiba na hivyo kuweza kufanya lolote huku akiendelea kuidharau katiba ya nchi na kuwanyima haki waliyopewa wapinzani ndani ya katiba.
Ni dhahiri kuwa sasa hivi CCM hawana ubavu wa kujitetea kuhusu uvunjwaji wa katiba/sheria. Wako bize kushangilia maandalizi ya polisi na kuwatishia watz, ili kuficha AIBU. Hiyo imeshaingia kwenye records.Sasa ninyi UKAWA si huwa mnajifananisha na yaliyotokea uarabuni? Andamaneni sasa maana huko Misri waliandamana mbela ya vifaru vya jeshi! Sasa itakuwa aibu yenu mkikimbia defenda za polisi!
Unahitaji maombezi ya nguvu, upate uponyaji kutoka kwa ibilisiWajitayarishie mafuta ya kilainishi washika ukuta siku hiyo
inafaa IGP awashukuru sana chadema Kwa sababu wamewafanya polisi wafanye mazoezi wapunguze Vitambi wengi walikuwa wamenenepa sana .The greatest fear is when you fear the unknown.
Akihutubia hiyo tarehe 31 basi ujue anawaogopa ye awaache tu aone kama wataandamana.
Ila pia polisi wamechoka mwezi mzima mazoezi ya kumkabili usiemjua inasikitisha sana!!!
Pesa inayotumika kupambana na UKUTA ni nyingi sana ni Pesa ambayo ingeweza kujenga shule kibao na kujenga hospital ingine kubwa ya rufaa , lakini sasa wameelekeza mamilion yote kwenye UKUTA pasipo kutafuta ufumbuzi Kwa njia za Amani na kuokoa hizo Pesa .badala ya kujenga nchi anaishia kufukuzana fukuzana tu na wapinzani,maaendeleo hakuna kila siku teua ,tengua tu....
Polis wengi wanaishi uswahilini na wananchi wamepanga huko wemgine wamejenga humo huku wemgine wanaishi vituoni kwenye nyumba za ajabu zisizo na ubora wa kuishi Asikari , badala ya kutumia hiyo Pesa kuwajengea nyumba nzuri na kuboresha makazi Yao wanatumia hiyo Pesa kununulia mabomu ya machozi na kuhangaika kunyamazisha UKUTA huku Lizabon na kikundi chake wakila Pesa nyingi Kwa ajili ya kuchochea vurugu CUF kupitia mgongo wa Lipumba ambaye sasa kawa mchunaji wa Pesa za CCM mpaka wakakosa Pesa za kufanya mkutano Mkuu lakini za Lipumba zipo mda wote.Hawa jamaa wanatumia nguvu nyingi kuliko akili,Ni taabu polisiccm wanatumiwa kama hawana weledi,tatizo hata usalama wa taifa umekuwa ni usalama wa chama.Ni aibu aisee na Magu akitangaza hali ya hatari,basi aruhusu jeshi liingie mtaani.
Pole sana Mbowe sa hizo yuko Dubaiiii!Ok,we are ready for that
Mnajua Serekali itatumia pesa kudhibiti. badala ya kufanya maandamano na badala yake kuhamasisha maendeleo na mnajua kabisa mnapoleta fyokofyoko Polisi itatumia hizo pesa bado mnaanadamana, Chanzo cha matumizi ya pesa ni nani?Polis wengi wanaishi uswahilini na wananchi wamepanga huko wemgine wamejenga humo huku wemgine wanaishi vituoni kwenye nyumba za ajabu zisizo na ubora wa kuishi Asikari , badala ya kutumia hiyo Pesa kuwajengea nyumba nzuri na kuboresha makazi Yao wanatumia hiyo Pesa kununulia mabomu ya machozi na kuhangaika kunyamazisha UKUTA huku Lizabon na kikundi chake wakila Pesa nyingi Kwa ajili ya kuchochea vurugu CUF kupitia mgongo wa Lipumba ambaye sasa kawa mchunaji wa Pesa za CCM mpaka wakakosa Pesa za kufanya mkutano Mkuu lakini za Lipumba zipo mda wote.