Wacha mambo yaende kisheria, maana hatuvai logo kizembe bila mzigo wa maana kuingia kwenye akaunti
Sioni Mantiki ya Simba kukataa kuvaa jezi ya nembo ya GSM
GSM ni kampuni.. siyo yanga
Kisheria bodi ya ligi/tff ndio wasimamizi wa mpira wa nchi hii, na mikataba yote hususani inayohusiana na udhamini wa ligi nzima , wao ndio wanaingia.Kwani huo udhamini wa azamu, Nbc bank, mbona hawakuhusishwa?na hata huko nyuma toka enzi za vodacom, tbl hawakuwahi kuhusishwa, na ndio maana huwa suala la logo huwa linaleta utata mala tu mdhamini anapokuwa ametangazwa?Sasa kama team yenyewe inayotakiwa kuvaa hizo jersey hakushirikishwa katika hayo makubaliano kupitia BODI YA LIGI , inategemea kusitokee mgongano? Kama zitaishia kwenye mabango hapo ni sawa, lakini kama SIMBA SC itatakiwa kuvaa hiyo nembo basi haikuwa sahihi wao kutoshirikishwa kupitia wawakilishi wao ambao ni Bodi ya LIGI.
kwani yanga walipokataa kuvaa logo ya NBC yenye rangi nyekundu NBC walikuwa ni simba??Sioni Mantiki ya Simba kukataa kuvaa jezi ya nembo ya GSM
GSM ni kampuni.. siyo yanga
kwani mwamedi zile logo karibu nne kwenye jezi ametia pesa ngapi kwa kila logoWacha mambo yaende kisheria, maana hatuvai logo kizembe bila mzigo wa maana kuingia kwenye akaunti
Safi kabisa wewe unafaa kuwa kwenye management ya makoloHuyo CEO angeachana na hizo mambo, hiyo sio asili yetu wala asifikirie kwamba sisi mashabiki tuna noma na hiyo logo
Tupia kapicha basi muzee.- Klabu ya Simba imekataa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)
- CEO wa klabu hiyo Barbara Gonzalez amesema wameandika barua bodi ya ligi kuomba ufafanuzi baada ya kuambiwa kuanzia mchezo ujao wanapaswa kuvaa logo ya mdhamini mwenza wa ligi kuu (GSM)
- Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu Tanzania bara 🇹🇿, ukikataa kuvaa logo ya mdhamini unapigwa faini ya Tsh milioni 3 kwa mechi.
- Ukiendelea kukaidi, unashushwa daraja.
- Mkataba waliosaini GSM na TFF masharti yaliyopo kutoka GSM ni kuwa, logo yao inapaswa kukaa upande wa kushoto wa jezi.
- Tayari Simba SC walishapewa logo hizo na mamlaka za soka nchini wazitumie kuanzia mchezo unaofuata wa derby ya Kariakoo.
Nike ina jezi gani mkuu?Adidas ni kampuni logo yao inaweza kuwa kwenye jezi za nike?
Pia sioni mahali ambapo Simba imesema imekataa kuzivaaSioni Mantiki ya Simba kukataa kuvaa jezi ya nembo ya GSM
GSM ni kampuni.. siyo yanga
Zinavaa timu ngapi za ligi?kwani mwamedi zile logo karibu nne kwenye jezi ametia pesa ngapi kwa kila logo
kwani mwamedi zile logo karibu nne kwenye jezi ametia pesa ngapiWacha mambo yaende kisheria, maana hatuvai logo kizembe bila mzigo wa maana kuingia kwenye akaunti
mbumbumbu kwa sauti ya Aden RageZinavaa timu ngapi za ligi?
Jamani kwani GSM Ni Yanga sc? Huyo CEO wenu akapimwe kichwa si bure
Timu yake Ile.. unauliza maswali gani ya utopolo 🚮kwani mwamedi zile logo karibu nne kwenye jezi ametia pesa ngapi
mbumbumbu kwa sauti ya Aden Rage
Hayo Sasa Ni masuala ya kimkataba Baina ya hao GSM na waendeshaji wa ligi husika. Ninachopinga Ni kusema GSM Ni Yanga sc
Hizo ndio akili za mashabiki wengi wa mikia. Wengi ni vichaa na watoto. Wengi hawajitambui kama wewe hapo.