Si tuliambiwa GSM ataishia kwenye mabango? Imekuwaje tena nembo yake iwe kwenye jezi za Simba?

TFF wameshakula hela ya mkwepa kodi mwandamizi lazima waitapike.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sio simba tu hii inabidi ikataliwe na vilabu vyote nchini yaani taratibu zipo afu TFF na bodi ya ligi hata hawajitambui toka lini adidasi na nike au na puma au umbro wakakaa jezi moja😂😂😂😂
 
Mimi ni Simba Ila naona ni fresh tu hata tukivaa jezi yenye nembo ya GSM
 
Jamani kwani GSM Ni Yanga sc? Huyo CEO wenu akapimwe kichwa si bure
Utumie akili wewe..! Yule Senzo na Msukule walikuwa wanafanya nini mkutano wa kusaini mkataba...Wao ni akina nani kwenye mkataba wa TFF na GSM?
 
Huyo CEO ni 0 brain, siku zake zinahesabika
 
Never never
 
Wacha mambo yaende kisheria, maana hatuvai logo kizembe bila mzigo wa maana kuingia kwenye akaunti
Mdhamini Mkuu ametoa bil2. 5 mdhamini mwenza ametoa bil2. 1 tofauti ni mil 400.halafu Kama hujui hizi bil. 2.1 zilipaswa zote ziwe za utawala(Tff)ila wamewaonea huruma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…