Si uungwana kubaguana kwa tofauti za dini

Gari ninayo zaid ya moja
Aliekataza mwenye gari hawezi kuomba lift ni nani?
Sio lazima upewe lift, wewe toa. Wengine vibaka, majambazi...huwezi toa lift hovyo hovyo
 
Kwa ufupi mno

Unajua mtu unaenda ofisi fulani na anayehusika kutoa huduma hapo ni dini fulani, basi akishaona tu jina lako haliendani na dini yake, utazungushwa kupata huduma hadi ukereke.

Na hii dini inafahamika fika kabisa, ni wabaguzi mno. Sijui huko kwenye nyumba za ibada huwa wanafundishwaga nini.

Ni upuuzi wa hali ya juu kumbagua mtu mweusi mwenzio kisa dini ambayo imeletwa na wakoloni sama mojawapo ya tools of colonisation.

Mtu ukimtajia tu jina anaanza kukupiga chenga bila sababu ila palepale akienda wa dini yake na unamjua anahudumiwa fasta.

Tuondoeni hizi mentality zisizo na maana vichwani mwetu. Sisi ni Waafrika weusi na Watanzania before anything else.
mimi sitasahau nilienda kwenye interview moja ya taasisi kubwa tu sasa mungu saidia tulienda watatu tu na wote tunajuana maana tumesoma chuo kimoja isee ile interview sitaisahau majibu kabla ya kutoka kwa kaida utumishi uwa wanapiga simu kwa wahusika kuwajulisha pia, sasa utumishi wamenipigia simu wanahakikisha kama ni mimi muhusika nikawaambia ndio mimi hadi details za ziada nikawatumia basi jamaa wa utumishi akaniambia usiwe na wasiwasi muungu amekuona safari hii..

we ile taasisi matokeo yametoka sipo wala kile kitengo tulichofanya interview hakipo tena... eeh nikaona isiwe tabu nikawafuata hukohuko kwao wakanirusha wakaniambia nifuatilie utumishi kwenda utumishi wananiambia hao walipewa waendeshe interview majina wameyapeleka kwenye taasisi husika kurudi kule kwenye taasisi tena wanaanza kuniuliza maswala ya dini tena ooh wewe sijui kimepanda kimeshuka mara hapa unajua dini fulani wapo wengi teyari dah.. nilitamani kulia yaani alafu ndio taasisi serikali hiyo, nikaondoka nilipo jaribu kufuatilia tena baada ya wiki tatu nikakuta kwenye kitengo kuna mtu mpya na wala hakutokana na wale wahusika tuliofanya wote interview...hapo ndio utajua haujui sasa
 
Ni shida kubwa hii na imewaumiza wengi sana
 
Back
Top Bottom