Misiba ndiyo mtaji mkubwa wa CCM wako tayari hata kuzipiga.Hii tabia inazuka na Sasa inakomaa na kukua
Binafsi ni kukosa ustaarabu na utu
Msiba ni mitihani ni kitu kinatakiwa kuunganisha watu wa itikadi zote na vyama vyote vya siasa
Sio tabia ya kiungwana CCM kujivika sare za Chama kama mpo kwenye kampeni, hii tabia mnakera familia za wafiwa
Mfano nimeona huko za Zanzibar kwenye msiba wa Charles na kwenye mazishi ya Msuya waziri mkuu Mstaafu, ambao hawa walikuwa watumishi wa umma walilipwa mishahara Kwa Kodi zetu wote, si sawa CCM kuitumia misiba kama fursa
Huu ushamba ukomeView attachment 3333125
Kwa hiyo kama sio kanisani kwengine ni sawa kuvaa sare ya chama?Kwa Msuya jana sijaona aliyevaa kijani kanisani
Inasikitisha mnoKwa hiyo kama sio kanisani kwengine ni sawa kuvaa sare ya chama?
wanasisiemu wote kwa sasa wamekuwa kama mapunguwani hawajielewinhawajitambui embu hona na hili zezeta kwenye msiba wa msuya
View attachment 3333231
Tumia tu kauli nzuri watabadilikaKwa hiyo kama sio kanisani kwengine ni sawa kuvaa sare ya chama?
wanasisiemu wote kwa sasa wamekuwa kama mapunguwani hawajielewinhawajitambui embu hona na hili zezeta kwenye msiba wa msuya
View attachment 3333231
Hawajimbui Hata Wakiambiwa Wabishi Sana
Hii tabia inazuka na Sasa inakomaa na kukua
Binafsi ni kukosa ustaarabu na utu
Msiba ni mitihani ni kitu kinatakiwa kuunganisha watu wa itikadi zote na vyama vyote vya siasa
Sio tabia ya kiungwana CCM kujivika sare za Chama kama mpo kwenye kampeni, hii tabia mnakera familia za wafiwa
Mfano nimeona huko za Zanzibar kwenye msiba wa Charles na kwenye mazishi ya Msuya waziri mkuu Mstaafu, ambao hawa walikuwa watumishi wa umma walilipwa mishahara Kwa Kodi zetu wote, si sawa CCM kuitumia misiba kama fursa
Huu ushamba ukomeView attachment 3333125
Hakika ni utahira mkubwa huu wa kuvaa sare za chama kwenye misiba.Angalia hii mitahahira mingine hii