Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Haya mambo yanafanywa na maraisi wengine kumbe. Nikajua ni Bi Hangaya tuView attachment 1934060
The Royal Tour Israel
View attachment 1934061
Royal Tour Rwanda
View attachment 1934063
The Royal Tour Mexico
We umeshachanjwa ?😁umeshachajwa?
Hakuna tatizo kabisa! Ni unyenyekevu tu alio ao mama yetu!! Wanyenyekevu huinuliwa!! Wasi wasi wangu tu ni kwamba yule mtu mmoja tu mwenye haki ya kuona wivu anajisikiaje? Vinginevyo ni kazi nzuri mno, na italeta matokeo makubwa!! Kwa hapo hongera sana mama!!Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036
Matokeo makubwa uliyapima wapi au ni yaleyale ya BIG RESULTS NOW tuliyodanganywa.Hakuna tatizo kabisa! Ni unyenyekevu tu alio ao mama yetu!! Wanyenyekevu huinuliwa!! Wasi wasi wangu tu ni kwamba yule mtu mmoja tu mwenye haki ya kuona wivu anajisikiaje? Vinginevyo ni kazi nzuri mno, na italeta matokeo makubwa!! Kwa hapo hongera sana mama!!
Daah..... Wewe una elimu ya darasa la ngapi? Inabidi kuboresha Elimu aiseeeeeeeHakuna tatizo kabisa! Ni unyenyekevu tu alio ao mama yetu!! Wanyenyekevu huinuliwa!! Wasi wasi wangu tu ni kwamba yule mtu mmoja tu mwenye haki ya kuona wivu anajisikiaje? Vinginevyo ni kazi nzuri mno, na italeta matokeo makubwa!! Kwa hapo hongera sana mama!!
Hoja nzito ila kiutu uzima zaidiHakuna tatizo kabisa! Ni unyenyekevu tu alio ao mama yetu!! Wanyenyekevu huinuliwa!! Wasi wasi wangu tu ni kwamba yule mtu mmoja tu mwenye haki ya kuona wivu anajisikiaje? Vinginevyo ni kazi nzuri mno, na italeta matokeo makubwa!! Kwa hapo hongera sana mama!!
Lobbying siyo jambo la kustukiza. Lazima ujipange. Mambo mengi muda mchache.Haya mambo yanafanywa na maraisi wengine kumbe.
Ni heshima kubwa sana, inategemea wewe unaesema si heshima ni wa malengo upi? Kwasababu hiyo ni kazi kama kazi nyingine, sawa akiitwa mvuvi special, akiitwa mkulima special, mwalimu special n.k muhimu yeye ndio kinara wa shughuli zote, yaani yeye ndio number 1Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036
Aise ni kweli buraza mambo ni mengi na muda ni mchache sana.Lobbying siyo jambo la kustukiza. Lazima ujipange. Mambo mengi muda mchache.
Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036
Hahahaha dahKwani ni uongo?
Ni kweli mama ameamua kuwa tour guide, na anaipenda hiyo kazi.
Kwanini kuna shida mtu kuwa tour guide?
Mama ameipenda hiyo kazi, mwacheni aifanye kazi yake.
Km kweli hv Mkuu. FactNi heshima kubwa sana, inategemea wewe unaesema si heshima ni wa malengo upi? Kwasababu hiyo ni kazi kama kazi nyingine, sawa akiitwa mvuvi special, akiitwa mkulima special, mwalimu special n.k muhimu yeye ndio kinara wa shughuli zote, yaani yeye ndio number 1
Sioni ubaya sana maana maneno ya mble amesema is The presidentSijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036