Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
Cha msingi mkate uende kinywani, riziki ni popote. Ofisi ni ni miguu yako mama Samia, acha wachonge wasio na shughuli za kufanya, kazi iendelee mbele kwa mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ACHA CHOYO, MAONO MAFUPI na AKILI MBOVUSijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036
Pale ambapo hujui kiingereza halafu una chuki na mtu, hayo maneno aliyotumia hayana shida bali yanavutia zaidi watu ili wakifatilie hiyo 2022Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036
Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036
Tour guide siyo tusi. Ni kazi mtu anayoifanya, sawa na Nyerere alivyoitwa Mwalimu Nyerere. Na hakuna sheria inazuia mtu kuwa na titles mbalimbali kwa kkuwa ni haki yake.Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036
Ni heshima kubwa sana, inategemea wewe unaesema si heshima ni wa malengo upi? Kwasababu hiyo ni kazi kama kazi nyingine, sawa akiitwa mvuvi special, akiitwa mkulima special, mwalimu special n.k muhimu yeye ndio kinara wa shughuli zote, yaani yeye ndio number 1
Mwalimu alikuwa Mwalimu. Au hujui?Tour guide siyo tusi. Ni kazi mtu anayoifanya, sawa na Nyerere alivyoitwa Mwalimu Nyerere. Na hakuna sheria inazuia mtu kuwa na titles mbalimbali kwa kkuwa ni haki yake.
Acheni kutafuta giza kwenye nuru.
Tupa jiwe wakati na mahala sahihi.
Kwa akili hizi wacha tu zanzibar iwe kwetu. Maana umewaza upumbavu sana.ngoja tuendelee kuwatawalaNajua watu wa Bara munamchukia sana baadhi yenu Mama etu Mpendwa Raisi Samia Suluhu lkn hili jambo analilifanya mutakuja kumshukuru sana baada ya kuondoka kwake hili jambo ndilo litakao leta maendelea ya kweli Tanzania /Tanganyika .Watakuja Investors wa uhakika na kutakuwa na maendeleo makubwa sana sana Ule ukosefu wa kazi utakuwa mwiko .Tour guide hajaakosea kwa sababu hili jambo analisimamia mwenyewe its serous business ndio maana akalisimamia mwenyewe .Wajinga wengi hapa JF na Tanganyika hawana vision wanaona hii Dunia iko hivi hivi tu hawajui chochote kuhusu Ulimwengu unavyokwenda kama kweli wewe una akili Raisi avunje kazi zake ende kulisimamia jambo hili sio masihara halafu unamponda na kumlani wakati anawatengezeni nyie kuhusu mustakbali wenu pamoja na watoto wenu basi bla blaa blaa nyingi Wabongo mushazoea kupanda punda farasi hamuwezi ndio maana Kenyata alimwambia Nyerere umetawala Maiti.Raisi Samia tuko Pamoja sisi Wazanzibari tunafahamu fika juhudi zako chapa kazi Mama angu watakukumbuka.Zanzibar kilio chetu ni Serikali Tatu(3) tu.
mm team gwaji boy gwaji boy. Mwendazake alituwachia wosia alie baki ni huyu gwajimaaaaaaaa tuWe umeshachanjwa ?😁
Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034
Ameyataka mwenyewe
View attachment 1934036
You have nailed it, tatizo si Wabongo wavivu Sana kufuatilia vitu na kujifunzaThe Royal Tour is a groundbreaking series of television specials, produced and hosted by Emmy Award-winning journalist Peter Greenberg, showcasing nations in a way no visitor has ever seen them before. Guided by some of the most dynamic and powerful Heads of State, Peter journeys deep inside each country to offer viewers access to extraordinary locations, historic landmarks and cultural experiences. Everything shown within these one-hour programs is accessible to the viewers who wish to travel to these amazing destinations themselves.
Wanaochanjwa wenyewe bado wanakufa na fedha zao kibao....mimi fukara hiyo chanjo itanisaidia nnumeshachajwa?
gwajiboy hoyee!Wanaochanjwa wenyewe bado wanakufa na fedha zao kibao....mimi fukara hiyo chanjo itanisaidia nn