Tambua kuwa,huyo ni Chief wa Machief woooote,Tanzania.Sio mtu wa mchezo kabisa.Na hao wazungu hawajatambua hilo.Tour guide siyo tusi. Ni kazi mtu anayoifanya, sawa na Nyerere alivyoitwa Mwalimu Nyerere. Na hakuna sheria inazuia mtu kuwa na titles mbalimbali kwa kkuwa ni haki yake.
Acheni kutafuta giza kwenye nuru.
Tupa jiwe wakati na mahala sahihi.
Zanzibar ilimshinda babu yako nyerere.Uanganeni na Kenya.Kwa akili hizi wacha tu zanzibar iwe kwetu. Maana umewaza upumbavu sana.ngoja tuendelee kuwatawala
Aweke mambo yake sawa na akina Mbowe kwanza la sivyo hali yake itakuwa mbaya zaidi.Kwani ni uongo?
Ni kweli mama ameamua kuwa tour guide, na anaipenda hiyo kazi.
Kwanini kuna shida mtu kuwa tour guide?
Mama ameipenda hiyo kazi, mwacheni aifanye kazi yake.
Sioi tatizo hapo. Kamwita Special Tour Guide President S. S H. Mbona sawa tu!!! Kipindi cha Nyerere wakubwa wote waliitwa Ndugu hi sijui his/her excellency na mhashimiwa wameanza kujiita baada ya Nyerere kufariki. Hii ni kujikweza tu. Usipoitwa hiyo title inaondoa ukubwa wako?Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036
hapa umemaliza kila kituThe Royal Tour is a groundbreaking series of television specials, produced and hosted by Emmy Award-winning journalist Peter Greenberg, showcasing nations in a way no visitor has ever seen them before. Guided by some of the most dynamic and powerful Heads of State, Peter journeys deep inside each country to offer viewers access to extraordinary locations, historic landmarks and cultural experiences. Everything shown within these one-hour programs is accessible to the viewers who wish to travel to these amazing destinations themselves.
Raisi ni mkuu wa kila nafasi, katika nchi Kwa hivyo ni tour guide pia! Na jamaa amesema vizuri tu, special tour guide!Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036
Mkuu acha bangi!Korongo la John ,16 wajuu mawe meupe....kwa bona nyuma ya Nyumba.....dabo roja
Atakuwa shemasi mwandamizi wa Wafufuaji wa Ubungo huyo!gwajiboy hoyee!
Msipingepinge kilakitu mnashida gani??Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036
Ilimshinda wakat ndo Imeungwa... Au huoni? Si ndo hii imeungwa na Rais tunamteua Dodoma aje kutawala Zanzibar. Akileta ubishi tunaweza mweka kwenye kifungo cha ndani kama Marehemu yule wa Kigamboni. Kumbe wewe bado mdogo hujui haya mambo .....ππππZanzibar ilimshinda babu yako nyerere.Uanganeni na Kenya.
mwanangu wewe ndio hujui maan ahalisi ya tour guide.. nenda shuleSijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036
Mama ungeanza kwenda wewe ili nami mwanao niige toka kwako.mwanangu wewe ndio hujui maan ahalisi ya tour guide.. nenda shule
Bado tu hutaki kueleweshwa?Mama ungeanza kwenda wewe ili nami mwanao niige toka kwako.
Kwa nini mama? Wewe umeelewa?Bado tu hutaki kueleweshwa?
Mama mwenyewe, akiwa Mererani, alitamka kwamba kwa siku hiyo yeye ni TOUR GUIDE.Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
View attachment 1934034View attachment 1934036