Kwahiyo jayo mataifa yanayomkataza Iran kumiliki nyuklia, wao sio hatarishi kwa usalama wa dunia?Tatizo liko wapi kwani? Issue ni kwamba iran iachane na issue zake za kuhatarisha dunia, Watu wanataka Iran waishi kama binadamu wengine waachane na issue za Chuki. yaani too much hate hate hate domo kaya
Acha ujinga wewe, Kwahyo ni sahihi wengine wamiliki nyuklia ila ila Iran isimiliki!!!Tatizo liko wapi kwani? Issue ni kwamba iran iachane na issue zake za kuhatarisha dunia, Watu wanataka Iran waishi kama binadamu wengine waachane na issue za Chuki. yaani too much hate hate hate domo kaya
Mwaisa walikutoa ubongo hawakuridhika wakakutoboa na macho kabisa... Wenye chuki ni Iran au ni hao wanaoionea wivu Iran yenye uchumi imara na nguvu za kulinda uchumi wake?Tatizo liko wapi kwani? Issue ni kwamba iran iachane na issue zake za kuhatarisha dunia, Watu wanataka Iran waishi kama binadamu wengine waachane na issue za Chuki. yaani too much hate hate hate domo kaya
Ulaya tayari imesalim amri kwa Trump,chochote inachofanya sasa ni kwamuongozo wa Marekani!.mataifa hayo makubwa ya Ulaya,France,England na German tayari yapo kwenye mazungumzo na Iran. Chakushangaza zaidi mazungumzo yao si yakutafuta muafaka bali kuishinikiza Iran irudi ikazungumze na Marekani. Huku ni kujidhalilisha kwa Ulaya.Mvutano kati ya Iran na mataifa matatu ya Ulaya — Ufaransa, Ujerumani na Uingereza maarufu kama E3 — umeongezeka baada ya mataifa hayo kutishia kurejesha vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Mataifa hayo ya E3 yametoa masharti matatu kwa Iran:
Kuanza tena mazungumzo na Marekani, kuruhusu wakaguzi wa Umoja wa Mataifa kuingia kwenye mitambo yake ya nyuklia, na kueleza kinagaubaga juu ya tani nyingi za urani iliyorutubishwa hadi kiwango cha hatari. Hata hivyo, Iran imekataa masharti hayo.
IRAN kahatarisha maisha ya nani?tuambie nchi yoyote duniani iliyowahi kuanza kutishiwa na IRAN amka kizani wewe YUVISISIEMUTatizo liko wapi kwani? Issue ni kwamba iran iachane na issue zake za kuhatarisha dunia, Watu wanataka Iran waishi kama binadamu wengine waachane na issue za Chuki. yaani too much hate hate hate domo kaya
Iran akiachana na huu mpango wa nuclear amekwisha,hatobaki salama. Rejea: Sadam Hussein walimwambia ivoivo akavunja Yuko wap Leo? Gadafi kavunja akafikiwa,Syria walivunja wakafikiwa huu mpango ndiyo usalama wa Iran wazungu hawataki uwe juu kiteknolojia au kiuchumi halafu ujitegemee bila ya msaada wao. Saudia,Qatar,Jordan wapo salama kwakua wamekubali kuwa vibaraka Iran kama atavunja akubali kuwa kibaraka lkn kama misimamo yake ni hii atakwenda kama walivyokwenda kina Gadafi na SadamTatizo liko wapi kwani? Issue ni kwamba iran iachane na issue zake za kuhatarisha dunia, Watu wanataka Iran waishi kama binadamu wengine waachane na issue za Chuki. yaani too much hate hate hate domo kaya
Hili jambo linafikirisha sana.Ulaya tayari imesalim amri kwa Trump,chochote inachofanya sasa ni kwamuongozo wa Marekani!.mataifa hayo makubwa ya Ulaya,France,England na German tayari yapo kwenye mazungumzo na Iran. Chakushangaza zaidi mazungumzo yao si yakutafuta muafaka bali kuishinikiza Iran irudi ikazungumze na Marekani. Huku ni kujidhalilisha kwa Ulaya.