Siamini Baltasar Engonga alikuwa na hela za kuwarubuni wake za watu wazito waliohusika kwenye sakata hili. Tatizo ni wanawake wenyewe

Siamini Baltasar Engonga alikuwa na hela za kuwarubuni wake za watu wazito waliohusika kwenye sakata hili. Tatizo ni wanawake wenyewe

Hii habari kweli ila Kuna uhongo ndani yake.
Sio kwamba ni 400 women mimi nimeona video kama 40 hivi.
Video hizo kama kumi na 3 hivi ni Ke mmoja.
Tena video kama zaidi ya 8 hivi anashiriki mapenzi ya jinsia Moja.
Video kama 4 ndo huyo na jamaa sehemu tofauti tofauti.
Kuna video ya mdada mmoja vipo mbili.
Na Kuna jamaa alimtekodi mkewe analalamika yeye video zake zipo 3 ila hazijasambaa.

Kuna sources zingine zinasema huyu ni mke wa waziri flani, source yengine zinasema ni mke wa police mkubwa kitengo gani . Ukiangalia ni Ke Moja 1.

Kuna clip nyingine wanasema ni mke wa waziri sehemu zingine wanasema ni ke wa mkuu wa police.

Habari ni ya kweli ila Kuna upotoshaji mkubwa.
Ni kwamba wamekuta video 400.
Na wanawake tofauti ila sio Kila video ni Ke tofauti .

According to government Yao. Wake wa viongozi sehemu tofauti tofauti ni 20 tuu.
Wengine hao sio wake wa wakubwa.
Ni wake wa watu wa kawaida wengine ni Malaya wengine ni mabinti wanafanya kazi sehemu Moja.
Hata kama 20 ndio teyari kikao cha wanaume tumeamua kumpa uwenyekiti rasmi hadi 2030.
 
Back
Top Bottom