Siamini Baltasar Engonga alikuwa na hela za kuwarubuni wake za watu wazito waliohusika kwenye sakata hili. Tatizo ni wanawake wenyewe

Kwa kifupi jamaa alimla shangazi yake yani
Shangazi mama mdogo sijui binadamu mpwa mama mkubwa mbona hao wanalikaga tu vizuri na Mungu anapotezea.

Hawa ambao hawaliki na hairusiwi kabisa ni bibi yako, mama yako na binti yako baas. Lakini wengine ni eligible without hesitation.

Cc mwandende

Nyau de adriz
 
Mwakaleli alishaharibu kitambo ni baada ya kumla mke wa aliyekua mwalimu wake wa kipaimara wakati huo jamaa akiwa bado ni kinda wa miaka 16 tu ndiyo akaona soo akatimkia zake huko Equatorial Guinea. Sema kwao kwa mzee Mwaegonga hela ipo.
Unataka kusemaje!
Huyu mhuni ni Mtanzania? Au jina lake ndio imeonekana mnyakyusa?
 
Ukiwa na pesa na yeye akawa na pesa anataka kile ambacho hana. Hawa wenye pesa wanataka masihara zaidi
 
Na huu ndo ukweli sasa sio wewe kisa eti ni afisa usalama basi muda wote hata ukiwa hom unasoma mavitabu ya kijasusi tu. Kumbuka ana boda boda wake huyo oohoooo!!!
Hawa watu wajinga sana. Ndio maana watu kama kina Elon Musk, Jeff Bezos na wengine hawataki kabisa habari ya kuwa na mke. Atataka attention yako kila wakati kwa vitu vya kipumbavu sana. Hawana ukomo wa watakavyo. Mnunulie ndege, atatoka na boda anaemletea pipi au chocolate
 
Sema kwa vimbumbu hv vinavyonuka visamaki Yann kumaliza nguvu hakuna tuzo ya mshunduaji bora Sema kula nyama nyamaza
100 ni minimal amount tu, ili kujaribu angalau kumfikia mkurugenzi mwandamizi kiongozi wetu BALTASAR
 
Kuwa selective kama alivofanya kiongozi wetu, chukua wanaojielewa. Kuna vimbumbu ni vitamu na vinanukia utatamani hata kula kwa meno
kama ile moja sijui ndo mke wa mchungaji yule kasuka nywele mistari mitatu ya kurudi nyuma anakata mauno kiufundi balaa alafu anaiskilizia kabisa. Kiukweli wala hawajapewa hela wale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…