Siamini kabisa hii dhana ya "People's Power"

Sasa wazungu wasingetusaidia si jpm angetunyonga wote. Thanks to wazungu
 
Unataka kuniambia serikali yao haikuwa na silaha za chuma? Au ni huruma tu ya kuogopa kuuwa watu wengi? Hiyo nguvu ya umma mbona haifanikiwi kwenye nchi nyingine?
Acha uvivu wa kutaka kuambiwa, kawaulize au soma kama hao madikteta waliondoka kwa sababu walikuwa na huruma halafu uje utuambie wewe kwa nini hao wengine kwenye hizo nchi nyingine hawana huruma.

Pia unaweza kwenda hapo Afrika Kusini karibu kuwauliza makuburu sababu zilizowafanya waachie madaraka wakati walikuwa na silaha zote bora duniani.
 
Pia unaweza kwenda hapo Afrika Kusini karibu kuwauliza makuburu sababu zilizowafanya waachie madaraka wakati walikuwa na silaha zote bora duniani.
Dunia iliingilia bana,yani nguvu ya umma haiwezi kushinda serikali bila kupata misaada nje. Ndio maana unaona nchi imara kama China na Urusi hazikubali uingiliaji wowote wa nje inahusu kuwashughulikia wanaharakati wake.
 
Ndio ila lazima umma uanzishe habari zikisambaa ndio wadau wa jumuiya ya Madola waingilie kati au UN huko waingilie pambano na kuwaamuru CCM wasepe
 
Ndio ila lazima umma uanzishe habari zikisambaa ndio wadau wa jumuiya ya Madola waingilie kati au UN huko waingilie pambano na kuwaamuru CCM wasepe
Bila Mataifa makubwa kama US,UK na kuingilia kati umma wa watz unaweza kuiangusha serikali, wewe unaamini kabisa mkuu?
 
Yeye bado anaamini kwenye mabomu
 
Futa hizo fikira zao za kizamani anza kuwaza upya
 
Unamaanisha chadema ni chama tepetepe na legelege kwa wanachama wao ambao walitangaza hivi karibu kufikia milioni 8??
 
Kama huna akili vyema kichwani huwezi kuiamini au kuielewa, wenye akili pekee ndio wanaielewa.
 
Nchi gani serikali ilikuwa na silaha zote na bado ilishindwa na wananchi wasio na silaha bila huruma na kuangalia ubinadamu?
Sijui kama una kumbukumbu sawasawa, hebu kumbuka mapinduziya miaka mitatu iliyopita ktk nchi za kaskazini mwa afrika, wananchi walitumia nguvu ya umma kuondoa serikali zilizojigamba kwa mabomu, silaha za kijeshi na vifaru juu lakini ziliondolewa!
 
Amandla Awethu!
 
Pale Ulitumika ubinadamu sababu tu sio kama serikali ilishindwa. Mbona kwa Asad walishindwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…