Pamoja sikubaliani na movement hii lakini umeona nguvu ya peeeeeeoooppplllless Leo pale karume mpaka wamesikilizwa?
Hiyo sasa ndio maana ya peoples power kama watanzania wakiamua. Yaani kinanuka Karume, kinanuka ubungo, kinanuka Morogoro, kinanuka Mwanza, kinanuka chuga, kinanuka Lindi hapo polisi wanaomba poo.
Jeshi likiingia mtaani tunawaambia hatugombani nao tunawaomba watulinde sababu tunachoomba sio kupindua nchi Wala kufungua mpiaka au kuifunga Bali tupeae haki ya jambo fulani ambalo hata wao wanaumizwa mfano bei ya bidhaa kuwa juu, masoko kuungua yanaleta loss ambayo haizibiki na serikali haitoi hata msamaha kwa waganga.
Hii itawafanya wasiumize raia watalinda tu usalama hapo ndio winner takes all na inakuwa peoples power.
Sio rahisi Ila wananchi wakiamua hakina atakayeua raia zaidi ya 100 sasa chaguo ni lako he upo tayari kwenda front au utaishia kwenye mitandao?