Siamini kama bwawa la "stigler gorge" litamaliza tatizo la mgao wa umeme nchini


China mpaka leo hii wapo site wanajenga bwawa la umeme nchini kwao. Je wachina hawana akili ?
 
Hiyo yote ni miradi wa watu wachache
 
Wewe kweli mwehu! Usikute hata account jf umefunguliwa na shemeji!! Wataalamu wamepima na kuona hivyo alafu wewe chokoraa tu mmoja huko ukerewe unakuja kuropoka utumbo
 
Kwanini hukuenda kufanya tathimini uongeze ubora na ufanisi kazi yako kuponda tu mitandaoni na kutoa komment za hovyo. Koma kabisa. Umeme unatosha na tutauza nje ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…