Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Wamemchoka,kwanza wameona ile nyota walitokua wanaisifia imefifia kama sio kupotea pili hana jipya mjini.(walitaman apate mwanaume mwenye hela waringishie timu nyingine,ndoto haijatimia miaka)
Hao wenye hela Mungu ampe yeye tuuu

Amebaki kutuuzia sura na magauni ya kumwaga tu no businesses no anything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…