Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wenye hela Mungu ampe yeye tuuuWamemchoka,kwanza wameona ile nyota walitokua wanaisifia imefifia kama sio kupotea pili hana jipya mjini.(walitaman apate mwanaume mwenye hela waringishie timu nyingine,ndoto haijatimia miaka)
Ukitembea na waridi shurtii unukie![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yule mtu mfupi nae ana matatizo sana. Muna sijui anajipendekezaga nini kwake..
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nyie watuuuBwana maji huyu huyu??? Lulu anaweza kuta kaongezewa mtu wa kumuita Aunty Lulu
Ukiona lulu ana ushoga na mwanamke mwenziwe jua anakuibia bwanaBasi watu aina ya lulu akianzisha ushost nawe jifikirie mara mbili mbili madhumun ya urafiki huo
Mjini bibi weee!unaibiwa na unaiba kisomiIla hamissa kiboko anajua ku-act mimi nilivyo na roho ndogo siwezi kumtunza mtu huku najua namchukulia baba watoto wake
Wala hana habareeeAiseee zile roho zitamlilia sana. Bora angezaa tu na alivyo mzuri mbona angetoa watoto wazuri tu
Ndo mjini kulivyoo ukiibiwa unatafuta mnyonge unamuibiwaHata majizo,hamisa alimpora shost ake
Hizo hapo wakunyumba me labda na huu ubonge wangu siziwezi labda waseme wenye miili yao hapana jamaniZikoje wakunyumba??
Ila yule nyaku nyaku hata seth alimuibia husnaUkiona lulu ana ushoga na mwanamke mwenziwe jua anakuibia bwana
Hata missa aliibiwa hvyohvyo ila muna ndo aliinjinia
muna ndo master wa lulu. Mabwana ampa yeye, waganga wazuri yeye. Lulu hapendi ushoga na Muna ila atafanyaje sasa ndo anajua ramani za mjiUkiona lulu ana ushoga na mwanamke mwenziwe jua anakuibia bwana
Hata missa aliibiwa hvyohvyo ila muna ndo aliinjinia
Na mm anaangalia hapa huku umbea huku mambo yananogaNgoja niangalie tamthilia maana umbea huu