Vitoto size yake lulu akampa kadi nyekundu apumzike kwanza kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Sasa alivikuta viben10 au alikuta baba zake? mtoto haridhiki yule jamani
Wapuuzi mie nshablokiwa na woteeKule kwa jinsi nilivyomkorofi huku ningejikuta alone kisa kulishwa block kila kona. Bora sina account huko, nasoma nakuja chekelea na kumwaga povu huku
Shosti tutasutwaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] jela kubayaaaJamani jamani tupe tu. Ndo ile alisema kuhusu mke wa seth anakaa kimya?
Umeona eeeh!maana jf inatazamwa balaaaDuh bora ukae nayo tu tusikupoteze nani sasa atamtetea hamisa huku. Napenda ubuyu wa juu juu ila ule wa siri uwiii nauogopa maana ni majanga tupu
Ngoja niwape kiduchu kifo cha seki wasn't coincedence at all even Seki's wife knows her husband would die anytime (sijui kingereza mmeeelewa mana mie pyua sayansi)Picha linaanza wanamuonyesha wao washirikina kiasi gani.
Ntamfuata kwa PM anipe ubuyu
Nope wanaume kabisa akamsuspend faster ht Majay anaishi kimachale na Lulu wewee!kufa kunatishaa!![emoji125] [emoji125] [emoji125]Ama alikuta na wale wa jinsia yake anaokulana nao pia ndo maana akamsamehe kirahisi?
Pm nakusemea kwa modi[emoji2] [emoji13] [emoji108] [emoji108] halafu kesho job ujueDoooooooh.. sijatosheka acha nije pm
kumaintain status mjiniMbona alikua ajiliza liza Lulu kampora bwana
Wapuuzi mie nshablokiwa na wotee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] shoga acha tu wanapenda siifaaHahahaha pole