Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Shosti tutasutwaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] jela kubayaaa

Ohooooo!!
Hatutakua wa kwanza.. kasutwa Oliver na cake juu itakua sisi wa kusutwa na maneno matupu
 
Acheni ushakunaku. Kila siku ooooo serikali ya Magu ooooo, Mahakama haitendi haki , Miaka miwili, Wengine akina babu sie tunavumilia hatujaua Maisha jela tunavumilia, wahenga;;;; sorry wanasheria washasota sana sana na rufaaa. Ooooo Lulu karibu tukule harage kwa ugali hapa g! Ooooo sorry jela.
 
Back
Top Bottom