Siasa ndio ilimmaliza. We kwenda ku join kitu ambacho wengi hawakipendi ila team yako inaforce uonekane inakupendeza unadhani utabaki salama.
Tatizo siasa,mshauri wake alibug
Mi alinacha hoi na kiki yake ya kupost " favorite people"Mimi nampenda ingawa kuna muda ananichosha...now nyota yake imefifia wema jamaniii...anapost insta comment chacheee
Wanangachani, icho nicho ichindedi chenye., ha a ha!!!Mkuu umetunanga vibaya
Kudos!Lulu anapenda kuonekana tofauti ujue, utakuta deep down alikua anataka sana mtoto na Majizo ila anataka watu wamuone tofauti na Hamisa aliezaa bila ndoa, yeye alikua anataka ndoa kwa Majizo ndo azae
Jamani ni kweli anapanda bajaj? kuna siku nilimuona kwenye harrier nyeusi yuko na mama yake.Akiwa kwenye bajaji sasa anajificha huyo , huwezi mjua ka ni yy
Ndo akavikabidhi kwa mama shikana sasaJana Lulu anamkabidhi simu zake mbili, na vicheni cheni kabla ya kuingia mahakamani, nikajisemea hiyo muna atampekuaje?....
Ila kamuna nako kanaonekana kanafiki kishenzi
Ila lulu mzuri sema ufupi unamuangusha....Si ndo maana aitwa Queen of mashauzi.. na bora kanyimwa kimo maana ufupi ule ila ana matashtiti balaa
Wala angekaa kimya wala tusingesema kwani lazima ampe pole hadharani? Sema inajulikana wazi Hamisa ana hasira na Lulu sababu ya MajaySio kila mtu ana roho km mlizo nazo nyie....kwn lulu alimpokonya bwana uyi hamisa au hamisa aliachana na majay ndo akaenda kwa lulu...na apo hamisa angekaa kimya bado kuna watu wangesema ana roho mbaya.....yn ss wabongo tumerogwa vibaya
Bwana anauma jamani tena akuibie mtu uliekua unamuamini na bado baada ya kukuibia anakurusha roho huku na wewe ukijitahidi kuonekana hauna tatizo hadharani ila pembeni wanaokujua wanajua kiasi gani mwizi wako anakuumizaRay 4 real, umesema kweli si wote ila wengi wao, ila swala la kuchukuliana Wanaume halijawah kuacha Marafiki wakarudia urafiki wao kama wa awali hata siku moja!
Ww rafiki yako akikuchukulia Mpenz wako utamtakia mema?
Atajidakia au atayapeleka kwa mashoga zake wengine. Huu ndo muda wadada wa mjini kumtafuta Muna awaweke karibu na shemeji zake.Labda lulu alikua na uhakika mkubwa wa kuachiwa huru. Hizo simu si angempa mama ake ,au alihofia zitawekwa bond kwa ajili ya pombe au? Bora angeziacha nyumban sehemu salama. Muna atajidakia madanga ya lulu kilaini
Kazuri bana Gen kana sura nzuri na mguu...mi napenda rangi yake, hakajiharibu na mikorogo, maana kamezungukwa na international carolite users ( mama na muna)Yap lulu ni wa kawaida nshamuona kama mara3 enzi yuko below 18 and recently wala sio hvyooo
Mkuyenge haujawahi kumuacha mtu salama. Labda ameguswa kweli sababu hata mtu umchukie vipi akipata tatizo kuna kale karohi ka ubinadamu unakapata, lakini kuja kujionyesha hadharani imekugusa sana ndo pale watazamaji tunapoona mtu anatafuta kik kwa pikipikiSidhani kama kuna umuhimu wa kuendelea kununiana kwenye matatizo makubwa kama haya kisa mgegedo a.k.a mkuyenge!
Lakini kama ni mnafiki basi wote tuseme Mungu yupo.
Hebu gen afunguke banaJamani jamani tupe tu. Ndo ile alisema kuhusu mke wa seth anakaa kimya?
Pale ndo roho yake ilipo bidada na kuna rumors kuwa bado wanakulana na domoMi alinacha hoi na kiki yake ya kupost " favorite people"
Nikajisemea huyu mibangi anataka kumpost Domo tu hapa hana jipya...daah bidada anampenda Domo hataree itakuwa hata anamuota!
Yule kaka zipu yake mbovu kama alikuwe uraiani na bado anamcheat sasa hiv yuko huru itakuaje unadhani..Kudos!
Umewaza akili mia mia...
Na ndio kitu alichokuwa anasubiria kwa majizzo...uzuri majizzo anampenda sana lulu, sasa sijajua huu msala ataendelea na mapenzi au akikutana na nyakunyaku watambadilisha moyo, akili za wanaume ziko chini tuu