Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Huuuuuuraaaay....nimekupata, ukiondoa skendo za mauaji ya miujiza, Wema hamuezi lulu kwa lolote, kuanzia upstairs mpaka lifestyle..
 
Duuh maskin ma mbaba yamemsababishia matatizo bado tu yanamfata hadi gerezani
We acha tuu...mi nilichungulia hadi kwenye Camry yake nikaona mapochopocho na urembo kwenye siti ya nyuma ..duh nikamuonea huruma bidada
 
Labda lulu alikua na uhakika mkubwa wa kuachiwa huru. Hizo simu si angempa mama ake ,au alihofia zitawekwa bond kwa ajili ya pombe au? Bora angeziacha nyumban sehemu salama. Muna atajidakia madanga ya lulu kilaini
Hata mi nilishangaa sana, na mama ake alikuwa nae pembeni kabisa nikajiuliza kwanini asimpe mama ake au majizzo!?

Sema yule cha pombe mbaya, anajiremba lkn ulevi hauishi usoni, Jana yenyewe vituko alivyokuwa anafanya ni kama mtu aliyekuwa kanywa asee

Mmama kaona mikamera kajifanya eti kuzimia wakati katoka mle ndani akiwa fresh tu!...
 
Hahahaha lulu ana kazi kama mama mtu vituko tu huko mahakaman je nyumban patakuwaje

Mmh majizo no kwa kweli,ushawah ona mwizi anajipeleka polisi bila presha yoyote ,angempa majizo jamaa angefukua mengi kwenye simu. Kaona bora muna atamtunzia siri zake
 
Hivyo vyakula kama kweli atakua anapelekewa ataneemesha wafungwa wenzie na baadhi ya askari. Kizuri kula na mwenzio ili apate heshima na kuishi vizuri huko
We acha tuu...mi nilichungulia hadi kwenye Camry yake nikaona mapochopocho na urembo kwenye siti ya nyuma ..duh nikamuonea huruma bidada
 
Kweli maana wema anachukulia u lastborn kwao mpka mtaan,enzi zile team yake walikua wanampamba kisa anajua english na kasomea shule nzuri baasi nae kichwa sauti ya kuigiza utoto.
Huuuuuuraaaay....nimekupata, ukiondoa skendo za mauaji ya miujiza, Wema hamuezi lulu kwa lolote, kuanzia upstairs mpaka lifestyle..
 
Yaani yule mmama utulivu sifuri asee...yaan ni hatulii mahakamani mara asimame ovyo, ageuza shingo ovyo ovyo, kuongea, halafu anapenda kamera sasa balaa...

Angempa basi hata mama ake asee...
 
Naona hairuhusiwi,ukiwa mfungwa ni mali ya serikali,ugali maharage unakuhusu labda kama anapata kaupendeleo toka kwa wakubwa ndo huo msosi wa nje utamfikia napo mpaka alieleta auonje
Hivi magereza unaruhusiwa kupeleka misosi every day? Especially mtu akishahukumiwa?
 
Ni unafiki tu.
Japo naomba mnifahamishe huyo mwanaume ni nani nikimaanisha kwamba ni star?
sumbai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…