[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajitutumua kuongea na nguo zako za heshima watu wanavua nguo tu. Babe nitakuzalia juju...salaale!hapo hapo mambo yanachange.
Mwanamke akiamua kukukomoa ata kama anaumia au kupata hasara hajaliNdo kaimaintain kwa kuzaa na bwana wa mtu anaejitia shoga ake? (zari)
Haaaaa haaaaa...uwiiiHizi story zenu zinaonyesha kabisa kunayanayowachoma moyoni kuona Dai bado yuko na yule mganda. Mshaloga sana na hakuna kinachieleweka maana huu ushuzi unaoendelea hapa ni zaidi ya ulozi
Unajiskiaje kuingia chumba chenye wanawake watupu?Hizi story zenu zinaonyesha kabisa kunayanayowachoma moyoni kuona Dai bado yuko na yule mganda. Mshaloga sana na hakuna kinachieleweka maana huu ushuzi unaoendelea hapa ni zaidi ya ulozi
Halafu hicho kiingereza cha "we are both" alimaanisha kuwa tupo pamoja?ni bora angeandika kiswahili tu
Hainingii akilini kabisa kama Hamisa anaweza kumuonea huruma Lulu to zis extent...
Unajiskiaje kuingia chumba chenye wanawake watupu?
wewe ndo bora ungenyamaza au ukarudia kumsomaHalafu hicho kiingereza cha "we are both" alimaanisha kuwa tupo pamoja?ni bora angeandika kiswahili tu
haya mamawewe ndo bora ungenyamaza au ukarudia kumsoma
Umeona ubuyu wa bifu la kidoti na bosslady wa fenicha
Bifu tenaaaaaa mbona fani zao tofauti au kidoti anataka ampindue mama wawili arudishe majeshi kwa babu
Shoga nimeuona loohjUmeona ubuyu wa bifu la kidoti na bosslady wa fenicha
[emoji2] [emoji124] [emoji2] [emoji125] [emoji125]wewe ndo bora ungenyamaza au ukarudia kumsoma
vizuri mwananguhaya mama
Nilinyimwa wasapu yangu. Nikaikosa jfWalikufanya nini Jela tupe Ubuyu ?