Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Siamini kama Hamisa Kamaanisha

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unajitutumua kuongea na nguo zako za heshima watu wanavua nguo tu. Babe nitakuzalia juju...salaale!hapo hapo mambo yanachange.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hizi story zenu zinaonyesha kabisa kunayanayowachoma moyoni kuona Dai bado yuko na yule mganda. Mshaloga sana na hakuna kinachieleweka maana huu ushuzi unaoendelea hapa ni zaidi ya ulozi
 
Wanawake tunajua hawapendani ipo wazi, mfano mdogo hata kwenye basi tu kuachiana siti hamuwezi.
 
8ef72e82b98f7d6ad43e01243d44379f.jpg


Hainingii akilini kabisa kama Hamisa anaweza kumuonea huruma Lulu to zis extent...
Halafu hicho kiingereza cha "we are both" alimaanisha kuwa tupo pamoja?ni bora angeandika kiswahili tu
 
Kuna watu mnapenda sana kuona wengine wakiwa kwenye mafarakano. If they try to make peace with each other mnaumia kimtindo. Hakuna baya alilofanya Hamisa. Kama bwana alishanyang'anywa na aliumia but again with time a heart break heals and one learns to accept and move on with life! Huyu intikafanya jamabo jema sana, waswahili wanasema majuto ni mjukuu. Yeye kaamua kumtakia mwenzie kheri, ni hatua mojawapo ya mapatano (isije kesho ikafika akajuta maana itabaki "lati kama ...") Kwa maslahi ya binti yake ambaye naamini mara kwa mara anaenda kwa baba na aunty Lulu anakuwepo, ni bora Hamisa has chosen to make peace!
 
Umeona ubuyu wa bifu la kidoti na bosslady wa fenicha
Shoga nimeuona loohj
Yule kidoti ujue alitoka nae akamuacha akawa na Jacky so wamelisha dude tena na kidotiii[emoji2] [emoji2] [emoji2] mjini pagumuuu
 
Back
Top Bottom