Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Kwa swala la lulu kwa sasa linahitaji kuweka tofauti zao pemben na kuombena mema.

Jela mpasikie tuu. Sio pazuri kabisa
Yani nipabaya sana,nakumbuka kipind nasomo sekondar tulilet noma kwenye mech za kirafiki baina ya shule mbili waliotudaka aki vile tuliionja kisongo kwa wiki 1 ila nikama umekaa mwaka
 
Tena wema alikua wa kwanza kujiliza msiban kwa kanumba,uwoya ndo akafunga action kuzimia mara mbili sijui tatu ile. Bongo movie wasanii kwa kila kitu
Maisha yao muda wote wanakuaga location..
 
Haswaaaaa idriss yuko sawa
Kabisa wale wote wanafiki tu. Bora idriss kasema ukweli kuhusu msiba wa kanumba ulivyomtouch na kuwa haki yake imepatikana. Wapo wengi walitaman waandike kama idriss..maisha ya Lulu wasanii wengi waliyataman sana
Kabisa mzigua hana deni
ila hata yeye kwa upande mwingine ana amani sasa hivi maana alikua anaishi hajui hatma ya kesi yake. Sasa hivi anaomba Mungu tu amalize salama arudi zake uraiani.
 
Kabisa wale wote wanafiki tu. Bora idriss kasema ukweli kuhusu msiba wa kanumba ulivyomtouch na kuwa haki yake imepatikana. Wapo wengi walitaman waandike kama idriss..maisha ya Lulu wasanii wengi waliyataman sana
Idriss amekua muwazi japo nilitegemea asikitike zaidi kwa Lulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…