Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani nipabaya sana,nakumbuka kipind nasomo sekondar tulilet noma kwenye mech za kirafiki baina ya shule mbili waliotudaka aki vile tuliionja kisongo kwa wiki 1 ila nikama umekaa mwakaKwa swala la lulu kwa sasa linahitaji kuweka tofauti zao pemben na kuombena mema.
Jela mpasikie tuu. Sio pazuri kabisa
Wameshindwa hata kwenda nae mahakamani halafu wanajitia wana uchungu nae..
Yaani the way wanavyoonyesha jela sio kuzuri numby tuombe Mungu tusipitie hizi situationBahat mbaya tanesco wamechukua umeme wao sijaona taarifa ya habari,nimeiona video mtandaoni
Kajitangaza lini?Katika vitu ambavyo akili yangu haijakubali ni wewe kujitangaza mwanamke. Huna kabisa sifa za kike, zaidi labda jike dume.
Hii kaliBora mie nnaesikitika Lulu kufungwa miaka miwili tu wakati nlikua nategeme kafungwa michache iwe japo saba au tisa...Ntasema kweli Daima unafiki kwanguuu mwiko
Daah!polisi tena pale wao ndo mabosi aiseeeehh!
Leo analia tu hukoo
Yaani before news on TV channel sikupay attention but now I feel saad!Wapo walishangilia lazima. Ndo ubinadamu lakini
Jela kubaya mineYaan ni all alone hana mtetez tena pale kwenye gari hadi jela. Lazima alie atamiss vitu vyake vingi.
Yaani the way wanavyoonyesha jela sio kuzuri numby tuombe Mungu tusipitie hizi situation
Waanafiki wa kwanza we a(Mungu anisamehe)kwa hili nahis anashangiliaTena wema alikua wa kwanza kujiliza msiban kwa kanumba,uwoya ndo akafunga action kuzimia mara mbili sijui tatu ile. Bongo movie wasanii kwa kila kitu
Maisha yao muda wote wanakuaga location..
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] numby acha ujingaNa kweli jela pabaya. Kuanzia kula mpaka kulala tuchambane tu ila kwenye maombi tuombeane mazuri
Kabisa mzigua hana deniKabisa wale wote wanafiki tu. Bora idriss kasema ukweli kuhusu msiba wa kanumba ulivyomtouch na kuwa haki yake imepatikana. Wapo wengi walitaman waandike kama idriss..maisha ya Lulu wasanii wengi waliyataman sana
ila hata yeye kwa upande mwingine ana amani sasa hivi maana alikua anaishi hajui hatma ya kesi yake. Sasa hivi anaomba Mungu tu amalize salama arudi zake uraiani.
Idriss amekua muwazi japo nilitegemea asikitike zaidi kwa LuluKabisa wale wote wanafiki tu. Bora idriss kasema ukweli kuhusu msiba wa kanumba ulivyomtouch na kuwa haki yake imepatikana. Wapo wengi walitaman waandike kama idriss..maisha ya Lulu wasanii wengi waliyataman sana