Waanafiki wa kwanza we a(Mungu anisamehe)kwa hili nahis anashangilia
Mimi yule Dada japo nampenda ila kwa hili nampa 100&kafurahiWema ni kweli kabisa kafurahi,team wema waliweza mtukana yeyote insta wema kimya,ila akitukanwa lulu alikua analianzisha mpaka wema anamuomba msamaha kwa niaba ya timu. Pesa na akili ya maisha alimzid sana
Umeona eeehh!Hashindwi yule queen of drama
Yule mtoto baada ya jela alitoka mtu mpya na bado Wema alikua na hasira za kujua aliekua anamuita mdogo wake kumbe alikua anamlia bwana ake na akiona yale mafanikio na hamna drama tena kwenye maisha ya Lulu alikua anaumia lazima..Wema ni kweli kabisa kafurahi,team wema waliweza mtukana yeyote insta wema kimya,ila akitukanwa lulu alikua analianzisha mpaka wema anamuomba msamaha kwa niaba ya timu. Pesa na akili ya maisha alimzid sana
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] numby acha ujinga
Eti tuombane mazuri kaaah
Tunatofautiana roho wengine wepesi kusamehe yaliyo pita hawawezi kuishi na visasi uzuri na yeye mzazi anamtoto wa kike miaka hairudi nyuma huwezi jua la kesho.Ni kweli mkui.. mimi nimeongelea nilichoona ingawa yeye Hamisa anajua zaidi
Yule mtoto baada ya jela alitoka mtu mpya na bado Wema alikua na hasira za kujua aliekua anamuita mdogo wake kumbe alikua anamlia bwana ake na akiona yale mafanikio na hamna drama tena kwenye maisha ya Lulu alikua anaumia lazima..
Kabisaaaa!ila anajikosha tuYule mtoto baada ya jela alitoka mtu mpya na bado Wema alikua na hasira za kujua aliekua anamuita mdogo wake kumbe alikua anamlia bwana ake na akiona yale mafanikio na hamna drama tena kwenye maisha ya Lulu alikua anaumia lazima..
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mimi hapo ukiomba utaombea wanangu woteee!sasa wewe sijui nini hyoooHahahaa ok mie nitakua naombea wote. Ila nikiwa namwombea geni nikidhan baraka zitamiminika kwako kumbe baraka zinenda miminika kwa mzungu mwenye jina lake hukoo majuuu,ukiombea numby kumbe mwenye jina lake ni viazi ardhin uwiii
Cha msingi tuishi kwa tahadhari na maombi kujiepusha na mabaya
Hiyo ndio acc ya Hamisa Og, itakua umemfollow kwa fake acc mkuu.
Mtu mzima kisheti kafulia kafukuzwa kwwny nyumba kwa kua anafuga mashoga!Wema angejifunza kupitia lulu. Ka binti kanaiba mabwana za watu kimya kimya kanakula na kipofu kwa siri ila wema uwiiii matangazo mia kidogo na picha anavujisha mwenyewe ili aongelewe na kupaisha ka jina ka tzsweehat
Kule pabaya mnoo.Yani nipabaya sana,nakumbuka kipind nasomo sekondar tulilet noma kwenye mech za kirafiki baina ya shule mbili waliotudaka aki vile tuliionja kisongo kwa wiki 1 ila nikama umekaa mwaka
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mimi hapo ukiomba utaombea wanangu woteee!sasa wewe sijui nini hyooo
Mtu mzima kisheti kafulia kafukuzwa kwwny nyumba kwa kua anafuga mashoga!
Namwonea huruma san,Kule pabaya mnoo.
Yaani huko insta vituko kila msanii pole Lulu, kwa hili nimemsifu Idrissa hajataka kuwa mnafki..najua kawakilisha mawazo ya wasanii wengi waliotamani kuandika ila sababu ya unafki wamekaa kimyaKabisa wale wote wanafiki tu. Bora idriss kasema ukweli kuhusu msiba wa kanumba ulivyomtouch na kuwa haki yake imepatikana. Wapo wengi walitaman waandike kama idriss..maisha ya Lulu wasanii wengi waliyataman sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] shosti umemuona doggie masta22 kamchamba hamisa eti mnaafiki na kasema tukimzogoa atafungua fileHapo sasa sijui hata maana ya ID yangu,ilitype tu nikaipachika hivyo hivyo.