Siamini kama Hamisa Kamaanisha

Siamini kama Hamisa Kamaanisha

8ef72e82b98f7d6ad43e01243d44379f.jpg


Hainingii akilini kabisa kama Hamisa anaweza kumuonea huruma Lulu to zis extent...
Teh labda ni mbinu ya kurudi kwa majay
 
Ngoja niwape kiduchu kifo cha seki wasn't coincedence at all even Seki's wife knows her husband would die anytime (sijui kingereza mmeeelewa mana mie pyua sayansi)
Wait... Nasikia siku hiyo ilikua apewe range, sasa how come tena amtumie jini mkata kamba? Au sio yeye mhusika?
 
Yule atakuja kufika 40yrs hawez hata kujilipia kodi ya laki 4 kwa maisha yake ya kuigiza. Sema tuishukuru CDM imembadilisha siku hizi kapunguza drama
Umeona eeeh. Naona kiasi fulani drama zimepungua sana.
 
Hata mimi nilietaka Lulu asihukumiwe sijapenda anachotaja kukifanya RC. Kama ana nia kweli angefanya kimya kimya tu
Yaani yule burizuzu kweli..kwanini,asimtoe kimya kimya akae zake kwao ajifungie tu ndani baada ya miaka atoke. Sema kama kafungwa ile ya usiku na mchana means atakaa mwaka 1 ila kama ni ya siku moja mchana tupu basi atakaa miaka yote mi2.
 
Back
Top Bottom