Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shost tulale tutasutwa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Usiku mwema dear
Ahsante mwaya. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Teh labda ni mbinu ya kurudi kwa majay![]()
Hainingii akilini kabisa kama Hamisa anaweza kumuonea huruma Lulu to zis extent...
Kwa swala la lulu kwa sasa linahitaji kuweka tofauti zao pemben na kuombena mema.
Jela mpasikie tuu. Sio pazuri kabisa
Ha ha ha madame hapa tu ndo unaniachaga hoi, nlivoona 16pages nkasikia uvivu kutafuta comment yako nashukuru nmeikuta pg ya piliKabisa yaani the way anavyopanda karandinga(defender) nimejskia vbaya
Mimi mzazi najua uchungu wa mwana
Bora akae mwenyewe mwenyewe mashost sometimes hawanaga maana, mi napenda kuishi hivo unaepusha mengi.Tatizo la lulu ni selfishness hataki ushosti na wala time na wenziwe
Wait... Nasikia siku hiyo ilikua apewe range, sasa how come tena amtumie jini mkata kamba? Au sio yeye mhusika?Ngoja niwape kiduchu kifo cha seki wasn't coincedence at all even Seki's wife knows her husband would die anytime (sijui kingereza mmeeelewa mana mie pyua sayansi)
Ilikuwaje hebu nipe habari. Maana nilikisusia take one toka wamuhoji kaogeIrene aliacha usshoga baada za Zamaradi kumdouble cross kipindi cha take one
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante my.
Hamisa mnafiki tangu lini hapo kaandika Huku anashushia na glass ya wine
Umeona eeeh. Naona kiasi fulani drama zimepungua sana.Yule atakuja kufika 40yrs hawez hata kujilipia kodi ya laki 4 kwa maisha yake ya kuigiza. Sema tuishukuru CDM imembadilisha siku hizi kapunguza drama
Yaani yule burizuzu kweli..kwanini,asimtoe kimya kimya akae zake kwao ajifungie tu ndani baada ya miaka atoke. Sema kama kafungwa ile ya usiku na mchana means atakaa mwaka 1 ila kama ni ya siku moja mchana tupu basi atakaa miaka yote mi2.Hata mimi nilietaka Lulu asihukumiwe sijapenda anachotaja kukifanya RC. Kama ana nia kweli angefanya kimya kimya tu
Idea ilikua ya Irene akamshirikisha zamaradi pale clouds bibie akaenda kuiongelea na ruge kitandani(hahaaa chumvi)bibie anashtka kipindi kimeanza katemwaIlikuwaje hebu nipe habari. Maana nilikisusia take one toka wamuhoji kaoge
Reallllll????Irene kuna sehemu niliziona picha zake akiwa naked nikajiuliza ni huyu huyu!!
Dada kakomaa kwa unafki yule,kiwango cha grade A+Ila hamissa kiboko anajua ku-act mimi nilivyo na roho ndogo siwezi kumtunza mtu huku najua namchukulia baba watoto wake
Yaani hata kama ana mambo yake,lakini sio exposed kama queen wa drama Tz sweet hat.Irene Paul huyu huyu? kidogo yule Mariam ana akili