Siamini kama kuwa tajiri kunahitaji akili,maana matajiri wengine hawana akili kabisa

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Ukisikiliza speech ya tajiri namba moja,unaona mtu kilaza sana ambaye unaweza kudhani hakupita hata shule yoyote.
Jambo hili linanifanya niamini utajiri ni majaliwa ya Mungu tu,na ukishaupata,unautumia utajiri wako kudhulumu watu ili uzidi kuwa tajiri.Na uzuri unapata machawa ambao ndio watakupa mipango yote jinsi ya kujiongezea utajiri.
Kweli Mungu hakupi vyote.Anakupa utajiri ila akili wanakuwa nazo wengine.
Tajiri namba moja ana maneno meengi kama meneja mauzo wa kiwanda cha khanga za Tanzania
 
Mwenzako amesoma International School of Tanganyika na degree ya biashara kasomea Marekani huko

Both Mo and Rostam
 
Ukisikiliza speech ya tajiri namba moja,unaona mtu kilaza sana ambaye unaweza kudhani hakupita hata shule yoyote.
Jambo hili linanifanya niamini utajiri ni majaliwa ya Mungu tu,na ukishaupata,unautumia utajiri wako kudhulumu watu ili uzidi kuwa tajiri.Na uzuri unapata machawa ambao ndio watakupa mipango yote jinsi ya kujiongezea utajiri.
Kweli Mungu hakupi vyote.Anakupa utajiri ila akili wanakuwa nazo wengine.
Tajiri namba moja ana maneno meengi kama meneja mauzo wa kiwanda cha khanga za Tanzania
yah utajiri si pesa sa kupata pesa si kuna njia nyingi ,kuna vilaza wanazaliwa tayari ni matajiri kama wakina GSM ,MO,D TRUMP wamezaliwa wamezikuta na kuziendeleza,Akili utumika kwenye kuziendeleza sio lazima uwe na akili sana ata nidhamu tu kwenye kazi na pesa watu wanatoboa sio kwamba ukiwa tajiri ndo una akili nyingi kuliko masikini
 
**HAO WALIOFANIKIWA ku master mazingira yao na kufanikiwa kuwa MATAJIRI ndio wenye AKILI ,na hizo ndio AKILI ZENYEWE.

sio wenye elimu ya kukariri iliyobaki kwenye makaratasi na ma vyeti..ambao wameshindwa kubadilisha vyeti vyao kutengenez pesa.

elimu zipo za aina mbili formal na informal ,kuna akili ya darasani na AKILI YA MAISHA ..akili ya kazi.

hitimisho..
waliofanikiwa kubadilisha FIKRA zao MAWAZO yao kuyabadilisha kuwa UTAJIRI ..ndio WENYE AKILI ZENYEWE SASA
 
Siyo kwamba ana akili ya kujua awaambie nini wasio na akili?

Watu wamepita jangwani kwa vyura wakajisaidia akiandaa speech kwa kutumia akili anayoitumia kuendesha kampuni zake ataeleweka?
 
Huwezi kuwa tajiri kama huna akili acha kujidanganya "bwanamdogo"
 
Back
Top Bottom