Mwenzako amesoma International School of Tanganyika na degree ya biashara kasomea Marekani hukoUkisikiliza speech ya tajiri namba moja,unaona mtu kilaza sana ambaye unaweza kudhani hakupita hata shule yoyote.
Jambo hili linanifanya niamini utajiri ni majaliwa ya Mungu tu,na ukishaupata,unautumia utajiri wako kudhulumu watu ili uzidi kuwa tajiri.Na uzuri unapata machawa ambao ndio watakupa mipango yote jinsi ya kujiongezea utajiri.
Kweli Mungu hakupi vyote.Anakupa utajiri ila akili wanakuwa nazo wengine.
Tajiri namba moja ana maneno meengi kama meneja mauzo wa kiwanda cha khanga za Tanzania
Rostamu anajua mpaka KISUKUMA alikiongea pale ALIPO mwita ISAYA YUNGE BEBE ISAYA.. HUYU MWANA WA RUTO..Mwenzako amesoma International School of Tanganyika na degree ya biashara kasomea Marekani huko
Both Mo and Rostam
yah utajiri si pesa sa kupata pesa si kuna njia nyingi ,kuna vilaza wanazaliwa tayari ni matajiri kama wakina GSM ,MO,D TRUMP wamezaliwa wamezikuta na kuziendeleza,Akili utumika kwenye kuziendeleza sio lazima uwe na akili sana ata nidhamu tu kwenye kazi na pesa watu wanatoboa sio kwamba ukiwa tajiri ndo una akili nyingi kuliko masikiniUkisikiliza speech ya tajiri namba moja,unaona mtu kilaza sana ambaye unaweza kudhani hakupita hata shule yoyote.
Jambo hili linanifanya niamini utajiri ni majaliwa ya Mungu tu,na ukishaupata,unautumia utajiri wako kudhulumu watu ili uzidi kuwa tajiri.Na uzuri unapata machawa ambao ndio watakupa mipango yote jinsi ya kujiongezea utajiri.
Kweli Mungu hakupi vyote.Anakupa utajiri ila akili wanakuwa nazo wengine.
Tajiri namba moja ana maneno meengi kama meneja mauzo wa kiwanda cha khanga za Tanzania
Haaahaa 😊Hahaha utafutaji una mbinu hata wachina siku hizi wanajifunza lugha zetu!