Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

Pole Sana maumivu ya mapenzi ni mabaya mno Bora uvunjike hata mguu utapona Ila maumivu ya hisia ni mabaya Kama mtu anachoma moyo na pasi ya Moto, nikupe pole hapo ndio umekuwa mkubwa Sasa Lia uwezavyo, huzunika usitake kupona haraka, na maumivu yakiisha usiende kutenda wengine vibaya wasio na hatia. Pole sana
 
mkuu badala ya kumpa pole nakumfariji we unamwambia hivo, dah! inasikitisha sana na hii ndo wanawake tulobaki nao zama hizi
Sasa hivi hata mumpe ushauri gani hautomsaidia.

Kama hajanywa maji anywe,kama anapenda mpira basi aende angalia mpira na washkaji zake,yani ajichanganye tu huko....aache mambo ya ajabu atakufa sasa hivi.
 
Ina maana ukiwa na siteresi ndiyo unanenepa?
 
Naapa mbele ya Malaika zangu lazima nilipize
 
Busara tupu [emoji1547][emoji1547]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…