Siamini kama naelekea kuondoka kwenye Ardhi ya laana

Siamini kama naelekea kuondoka kwenye Ardhi ya laana

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Mambo yakikaa fresh miezi michache ijayo namimi nitakua miongoni mwa wanajf wachache wanaoishi ulaya, kwa hakika nina furaha sana.

Mambo yakitiki sidhani kama nitarudi kwenye hii ardhi iliyolaaniwa inayonuka damu! Nitakua natoa tuu pole nikiwa huko ughaibuni nawaangalia tu mnavyopimwa shaba.
 
My beloved country Tanzania....hata nikienda Ughaibuni lazima nirudi Bongo........"THE NEW TANZANIA IS COMING"
 
Back
Top Bottom