comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #61
Ngoja nikapate akili mpyaMkuu unajiskiaje unaondoka unaacha ndugu na jamaa zako kwenye moto,huko ulaya utaishi kwa amani ya moyo?
Ngoja nikapate akili mpyaMkuu unajiskiaje unaondoka unaacha ndugu na jamaa zako kwenye moto,huko ulaya utaishi kwa amani ya moyo?
AiseeMimi sina mpango wa kuondoka nchi hii siwezi mpaka nilipe kisasi
Do or Die
9dec tukutane.
Moja kati ya nchi za Scandinavia
Huko scandinavia pouwa sana, ukishaijua lugha yao basi wewe ni kupeta tu, achana na hadithi za wabongo eti utakua mpweke. Huko tegemea kua na discipline ya maisha kuanzia budgeting hadi maisha kwa ujumla. kapambane mwana maisha ni popote.Moja kati ya nchi za Scandinavia
Inahuzunisha sana mkuu.Kama wale watoto wapo wanasali wameshika biblia mtu kaingia kampiga mamayao ya kichwa unafikiri wataitamani bongo wale, wakipata upenyo wakiondoka hawarudi tena