comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kusalimia sawa lakini siwezi kuweka makazi kwenye nchi kama hiiWenzako pia walisema namna hiyo kabla ya kwenda mbelez, na walipofika walirudi either kusalimia au kuweka makazi yao.
Hata hivyo, kila la heri huko Ulaya.
Kama kawaidaUlaya kama ulaya
Kumbe oman ipo ulaya?? Nilikua sijuiusikute unaenda oman
Nyie bakini hapahapa mpasuliwe vichwa kama naziSoon na mimi naenda kuishi kwenye mars 🤭
Hmmm hivi ninavoonge tayari nawasiliana na space x ya Elon musk niende huko🤺Nyie bakini hapahapa mpasuliwe vichwa kama nazi
Mbona matusi na hasira?Weak ass ni**ger ukwende,hata hatukuhitaji.
Unaenda nchi ipi?Kusalimia sawa lakini siwezi kuweka makazi kwenye nchi kama hii
Moja kati ya nchi za ScandinaviaUnaenda nchi ipi?
Hapanaunakimbia tatizo sio
Nimeshiriki sanUtarudi na utakuta vijana tumeshaikomboa nchi yetu. Ni matumaini yangu hautakua mnafiki kutaka na wewe kuonekana ulishiriki mapambano