Siamini kama naelekea kuondoka kwenye Ardhi ya laana

Mkataa kwao mtumwa.

Ukishafika huko utajua maana ya nyumbani ni nini.

Ila kila la kheri,
 
Mkuu hata mie kama wewe tu I second you , kuishi sehemu ambayo unaweza pokwa haki zako kupitia wana siasa au wanaojiita wana mapinduzi ni shida mno kwa mtu ambae yupo open minded kama tulivyoona hapa kutekwa, kuuliwa na hata kuporwa mali kwa kisingizio za kukomboa nchi ni kuishi ktk jamii ya ushenzi kwa pande za watawala na watawaliwa

Bora kuenda sehemu ambayo watu wanatumia akili kutatua changamoto zao sio huku ni vurugu , ukatili na ubabe wa kila aina ,
 
Nyie bakini hapahapa mpasuliwe vichwa kama nazi
Hata huko unapohamia kuna watu walipasuliwa vichwa ndio mana kuna haki na uchumi mzuri, wengi humu tumekaa US more than 20 years kinachotuzuia kurudi bongo permanently ni family tuu na uchumi , I can’t wait my last born aondoke na mimi nitimue, home ni home, ila njoo kuna opportunities kuliko home ukiwa na akili na bidii
 
Mkuu,

Haya mawazo ni ya kibinafsi sana.
 
Unazingua mkuu, kama umepata fursa nenda ukapambane ila usiseme umekimbia nchi. Btw tupo tutakupambania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…