Siamini kama naelekea kuondoka kwenye Ardhi ya laana

Moja kati ya nchi za Scandinavia

Moja kati ya nchi za Scandinavia
Huko scandinavia pouwa sana, ukishaijua lugha yao basi wewe ni kupeta tu, achana na hadithi za wabongo eti utakua mpweke. Huko tegemea kua na discipline ya maisha kuanzia budgeting hadi maisha kwa ujumla. kapambane mwana maisha ni popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…