carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Duuh! Hatimaye kaka GuDume umepatwa lol. Sababu sio kwa sifa hizi ulizozimwaga.
Kila la kheri kaka! Ila sio kwa misemo hiyo leo sababu usingeitumia , nadhani uzi wako ungekuwa mrefu hatari.
Kwa kuwa na sisi tunatafuta humu humu, ni vizuri ungemtaja kama alivyofanya Mshana Jr ili tusije tukajikuta tunamuibukia shemeji yetu pm kwa kutojua[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Umejitahidi na methali, ila umekosea tu kdg. "Jahili aachi asili" na sio"jasiri"...... Ukuukuu wa pamba, si upya ukambaa. Not mkambaa..!
Ni mwanamke gan anaweza kumteka gudume
SAFI SANAndugu zanguni (leo hata namna ya kuwa address imebadilika) nashukuruni sana kwa kweli... mtoto kaumbika... mashavu yake yote yanaonekana kuwa na mvuto,sura ya yai,lips za mfuto na macho ya goroli. rangi yake ya chungwa lilioiva ... akiongea ni kama hataki maana anaweka vituo vyote kwa usahihi kabisa. kwa kweli... "mla mla leo ,mla jana kala nini?" nami nimejipatia mtoto mantashallah... allahamdullilah "kimfaacho mtu chake" maana msije waswahili mkaanza kusema oohh.. sijui ni na nini... gudume amekutana na maneno ya wahenga ya kuwa "subra yavuta kheri"
HONGERAMillion ya vipiiii michango ya harusi inajulikana
Hongera ya niniiiHONGERA
ELFU 50 AU SIOMillion ya vipiiii michango ya harusi inajulikana
Enh elf 50 single double laki huwa inajulikanaELFU 50 AU SIO
KWA KUOPOAHongera ya niniii
We vipiiiii kuopoa niniii kwani me ndio gudumeKWA KUOPOA
UPO???Million ya vipiiii michango ya harusi inajulikana