Siamini Shilingi ya Somali na Gourde ya Haiti ina thamani kuliko shilingi ya Tanzania

Siamini Shilingi ya Somali na Gourde ya Haiti ina thamani kuliko shilingi ya Tanzania

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Ebana wanajamvi inakuwaje?

Siamini Shilingi ya Somali Somali shiling na Hela ya Haiti Haiti Gourde ina nguvu na thamani kuliko shilingi yetu ya Tanzania. Bado najiuliza na kushikwa na butwaa.

Dollar 1 ya kimarekani 1 USD = 579,66 Somali Shillings

Dollar 1 ya kimarekani 1 USD= 132,38 Hatian Gourde

Hata hela ya Burundi ina nguvu na thamani kuliko yetu.

Hivi hii imekaaje? Wataalam wa uchumi msaada please.

Note:

Acheni kuniattack bure.

Huku nilipo hawatumii . Nukta wanatumia ,

Ndo maana nimeweka 579,66 somali Shilling na 132, 38 Hatian Gourde
 
Kuna kitu gani Somalia na Haiti wana export hadi hela yao iwe na thamani kuliko yetu. Yani haiti
 
Screenshot_20240704-225357.png
 
Mbona hata pesa ya comoro kubwa kuliko ya tz ila uchumi ndo hivo
 
Ebana wanajamvi inakuwaje?

Siamini Shilingi ya Somali Somali shiling na Hela ya Haiti Haiti Gourde ina nguvu na thamani kuliko shilingi yetu ya Tanzania. Bado najiuliza na kushikwa na butwaa.

Dollar 1 ya kimarekani 1 USD = 579,66 Somali Shillings

Dollar 1 ya kimarekani 1 USD= 132,38 Hatian Gourde

Hata hela ya Burundi ina nguvu na thamani kuliko yetu.

Hivi hii imekaaje? Wataalam wa uchumi msaada please.
Mtoa mada rekebisha apo ni . Na sio , jifunze alama za uandishi unatuconfuse nkajua laki kudadek
 
Kuna kitu gani Somalia na Haiti wana export hadi hela yao iwe na thamani kuliko yetu. Yani haiti
Somalia's agricultural sector is the backbone of the economy, contributing to over 70 percent of total GDP, 80 percent of its employment, and about 50 percent of its exports.

Wanalima muda gani huku wanapigana muda wote ?
 
Mambo ya fedha.... huto yawezaaaa.......Aliimba msanii flani hapa Tanzania miaka ya nyuma
 
Back
Top Bottom