Siamini Shilingi ya Somali na Gourde ya Haiti ina thamani kuliko shilingi ya Tanzania

1 USD = 162 Japanese Yen

Kwa hiyo Haiti nao unataka kuniambia fedha yao ina nguvu kuliko Japan?

Nguvu ya fedha unaipima kwa thamani ya kitu inachokinunua baada ya kuibadili kwenye currency unayoitaka, na siyo pale mnapo badilishana hela
 
Mtoa mada yupo sahihi kwenye uwasilishaji wa mada. Nadhani kakosea kwenye kutenganisha namba. Badala ya kuweka nukta akaweka alama ya mkato. Hayo ni makosa ya kiuandishi
Kama yuko nje ya nchi atakuwa hajakosea, baadhi ya nchi za bara ulaya ndivyo wanaandika hizo tarakimu. Ila na yeye apunguze ujuaji, ilitakiwa aziandike kwa mfumo wetu uliozoeleka.
 
Hayo hayana maana kwani kuna wakati ilikuwa Lire 2000 za Italy zilikuwa shilling 1 ya Tanzania je unaweza kufananisha uchumi wa Italy na wa Tanzania?
 
1 USD = 162 Japanese Yen

Kwa hiyo Haiti nao unataka kuniambia fedha yao ina nguvu kuliko Japan?

Nguvu ya fedha unaipima kwa thamani ya kitu inachokinunua baada ya kuibadili kwenye currency unayoitaka, na siyo pale mnapo badilishana hela
Hahaaa
 
 
Hapa tatizo ni shule ndogo .Maswala haya ya fedha za nchi siyo ya kuvamia tu.Wakati ule Lira 1 ya Italy iikuwa sawa na karibu Shilingi za kitanzania 1.4......
Kwa ujinga wako wewe kwa kuangalia thamani hiyo ya fedha dhidi ya shillingi yetu utasema maisha yetu na wataliani ni sawa. Rudi shule ndugu yangu ,Vyuo ni vingi siku hizi na hata kama huna akili utafanyiwa mtihani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…