Siangaliagi SAFARI CHANNEL kwa sababu ya Mambo Kama haya ya kitoto kabisa

Siangaliagi SAFARI CHANNEL kwa sababu ya Mambo Kama haya ya kitoto kabisa

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Yaani mnatuonyesha vitu ambavyo hata kwenye mti karibu na kazini kwangu ninapopumzikia naviona Tena zaidi ya hivyo vya kwenye channel yenu.
 
Attachments

  • VID_20250124_225339.mp4
    48.6 MB
Kama wewe unaona haikufai ujue si kwa qjili yako,ila kuna mambo mengi mazuri tu huwa yanaonyeshwa hapo
 
Sasa kama HUANGALIAGI unajua wanaonesha(ga) nini kila siku?? Unapata wapi ujasiri wa kuzungumzia kitu usi kifatilia??? Halafu kwann uoneshe hicho ina maana umekipenda
 
Yaani mnatuonyesha vitu ambavyo hata kwenye mti karibu na kazini kwangu ninapopumzikia naviona Tena zaidi ya hivyo vya kwenye channel yenu.
Chanel yangu pendwa
 
😁 UNATAKA KUSEMA IFUTWE NDO NYIE MLIOTUZIMIA BANGO AROUNDBOUT YA SHABBIY PALE
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kuviona siyo sababu ya kusema kwamba huo ni utoto nwa Safari Chanel,kwa sababu kuna wengine makwao havipo na wao wanastahili kuona kile ambacho wewe unakiona kwako.
 
Mbona channel za Wild ziko nyingi mkuu kwanini uhangaike na hiyo safari mpaka unakuja kuifungulia Uzi huku! DStv Chanel za Wild ziko nyingi na nzuri kwelikweli kazi ni kwako
 
Nilichokiona kiona ni hilo jina chato sema hukutaka kufunguka zaidi.
Hata hivyo nchi hii ina vitu vingi sana vya kuonyesha asee sio huo upuuzi wanapswa kuonyeshwa usa huko.
 
Unataka uone tembo na nyumbu tu sio.
Yaani mnatuonyesha vitu ambavyo hata kwenye mti karibu na kazini kwangu ninapopumzikia naviona Tena zaidi ya hivyo vya kwenye channel yenu.
 
Yaani mnatuonyesha vitu ambavyo hata kwenye mti karibu na kazini kwangu ninapopumzikia naviona Tena zaidi ya hivyo vya kwenye channel yenu.
wanakosa creativity, hawajifunzi kwa NAT GEO (national geography) wanavoandaa contents, graphcis, wanavyoenda deep. Hata kama huna interest unajikuta unavutiwa?
 
Back
Top Bottom